Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Status
Not open for further replies.
Exclusive: mwanafunzi wa kwanza anatoka shule ya feza girls anaitwa patricia Protas, kumi bora kibaha haimo, kuna mwanafunz wa shule ya kata ameingia top ten (shule ya sekondari banjika-karatu). Usiniulize nilikotoa hizi data
 
Pengine umesoma bango la ujenzi! hiyo sio kweli!.... mnataka kuua watoto wa watu....
 
baaaaaasiiiiii tokeo hilo la kidato cha nne na wengne tayari wamekua wakulima kwa mfano mwanafunzi alie somea igunga day Jonh mrefu kaona matokeo yanachelewa ile mbaya
 
baaaaaasiiiiii tokeo hilo la kidato cha nne na wengne tayari wamekua wakulima kwa mfano mwanafunzi alie somea igunga day Jonh mrefu kaona matokeo yanachelewa ile mbaya

Na ww nenda ukawe anko umoja sec.Ulipomalizia
 
dogo ananisumbua hatari...
Wanatoa lini hawa wakubwa..!??
 



sasa kama shule za kata bado zina holahola na ni kwa sababu wanafunzi wanaopelekwa katika shule hizi ni wale ambao majibu yao ya mtihani wa DARASA LA SABA hayarishi,sasa kwanini mpango mzima wa utungwaji hadi utoaji wa matokeo wa mitihani ya kidato cha nne (CSEE) usipelekwe darasa la saba ili kupata suluhisho la tatizo hili
KULIKO KUENDELEA KUUDHALILISHA,NA KUUSHUSHA HADHI MITIHANI YA KIDATO CHA NNE (form four)??????
 
jaman bora ya mwaka jana kuliko mwaka huu lkn sio shida sana hongera kwa wanasayansi wote kwal la sayansi kukosewa ngara sijui kwa wengine kiukwel sayansi ndio shamba na siasa ni jembe mwisho nimalizie kwa hii life is not dialoge but debait always.........
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…