Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa mada amesema kuanzia tarehe 1/2/2013.Ndio yanatangazwa muda huu.Imedhihirika ni kweliWe mwongo mbona mpaka leo date 7 hayajatangazwa?
ulivosema haya hapa nikajua sasa nikifungua ntakuta link inayoonesha hayo matokea..kumbe ni yale ya jumlajumla tu!...sasa wanasema yatakuwa hewani saa ngapi? wazazi sasa tuko roho juu!nipo hapa katika ukumbi na katibu ndo anatueleza hayo matokeo so nimeamua kuwapasha japo kidogo,asilimia 50.02 ya watahiniwa wamefaulu,shule za binafsi zang'ara na za vipaji maalumu..top ten ina shule za St.francis,Marian,Feza boys,st.Joseph Millenium,Abbey,St.Mary Goreth,Kandoto girls,Mzumbe,kibaha,Ilboru na wanafunzi bora ni Mary A . ndona(st.francis),rebecca nsingwe(marian),Joseph Ulapi(Mzumbe),Ismail Kandeya(Arusha day),Martin kaimbo(kibaha)..ntazid kuwajuza
ulivosema haya hapa nikajua sasa nikifungua ntakuta link inayoonesha hayo matokea..kumbe ni yale ya jumlajumla tu!...sasa wanasema yatakuwa hewani saa ngapi? wazazi sasa tuko roho juu!