Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Status
Not open for further replies.
Nyie madogo presha za nini bado mapema tokeo linatoka mwezi wa 5 mtaobahatika advance mtakuja mwezi wa 7, so tulizeni wenge

ByManase Anthony
Acha utani bro!!mbona itachkua time,ila unabashiri tu.hauna uhakka wa taarifa yako.
 

We mwongo mbona mpaka leo date 7 hayajatangazwa?
 
MJ pls husisahau kutuwekea link ya kupata form four results kesho tafadhali.
 
Mungu atusaidie vijana wafaulu kadri walivyojiandaa na kuu kabili mtihani!!
 
waliofaulu 54% kati yao ni 5% tu ya muslim waliofaulu.....
 
Eti ni kweli matokeo yanatoka leo? Na yanaweza kutoka saa ngapi? Naomba mniambie kama mnajua.:A S cry:Wengine tushachanganyikiwa.
 
Wataandamana kama desturi yao

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Eti ni kweli matokeo yanatoka leo? Na yanaweza kutoka saa ngapi? Naomba mniambie kama mnajua.:A S cry:Wengine tushachanganyikiwa.
Sasa kama umechanganyikiwa matokeo yatakusaidia nini?Maana sehemu unayotakiwa kuwepo saa hizi ni milembe.
 
Nipo hapa katika ukumbi na katibu ndo anatueleza hayo matokeo so nimeamua kuwapasha japo kidogo,asilimia 50.02 ya watahiniwa wamefaulu, shule za binafsi zang'ara na za vipaji maalumu.

Top ten ina shule za St. Francis, Marian, Feza boys, St. Joseph Millenium, Abbey, St.Mary Goreth, Kandoto girls, Mzumbe, Kibaha, Ilboru na wanafunzi bora ni Mary A . Ndona(St. Francis), Rebecca Nsingwe (Marian), Joseph Ulapi(Mzumbe), Ismail Kandeya(Arusha day), Martin Kaimbo(Kibaha)

...ntazid kuwajuza
 
Ahsante! Vp mbona kwenye mtandao hayaonekan? Au kama yapo 2wekee link yake tafadhali
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…