Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Status
Not open for further replies.
Ahsante, bado tnakusubiri.
 
Habari njema kutoka Ukurasa wa necta ni kwamba zoezi la kuingiza matokeo limekamilika na wanajitahidi ili watangaze leo.
 
Nilisikia kuwa muhula wa kuingia form 5 unabadilika hivyo kuchelewesha matokeo,haya ngoja tusubiri tuone.
Nadhani watatoa mapema kama kawaida kwa sababu matokeo ya O LEVEL si lazima uende A LEVEL kuna watu wataenda mambo ya afya na vyuo mbalimbali so yakiwa tayari yatatoka.
 
Dr ndalichako ajiuzulu

Kwa sababu ipi na kwa shinikizo la nani?.Yeye hafundishi kama ni suala la kufundisha na kufaulu muuluzi mzee wa Bagamoyo na Zimbabwe na Tanganyika.Big up Dr Ndalichako for unquestionable integrity and ethics.
 
Kweli kma yanatoka leo sbanduko himu labda umeme tu ukate πŸ˜€πŸ˜€
 
Nafikiri bado...nimechungulia website ya NECTA...sijaona lolote.......
 

Endelea kutujuza mkuuuu......Big up St. Marry Goreth...
 
Invisible na mods wengine kama hii taarifa si ya kweli apigwe ban

haiwezekani mtu alete habari ya uwongo inayosomwa na
guest zaidi 1,500 halafu wapeleke mtaani wameiona JF
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…