Rashford Lingard
JF-Expert Member
- Feb 9, 2018
- 938
- 1,150
- Thread starter
- #21
KabisaaHizo ni FLAVOUR za soka la BONGO zimeenziwa enzi na enzi.
Ujuwaji ukipewa nafasi na kuruhusu flavour hii kutoweka viwanja vya mpira tutafugia MBUZI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaaHizo ni FLAVOUR za soka la BONGO zimeenziwa enzi na enzi.
Ujuwaji ukipewa nafasi na kuruhusu flavour hii kutoweka viwanja vya mpira tutafugia MBUZI.
Yanga wamedeka.....Ni ushamba uliopitiliza kabsa. Yanga waliwahikugomea pesa za ufadhili za Azam wakigomea kuwa ni ndogo wakat wa Manji, leo zile zile million 100 wanapiga magoti kuzichukua. Ni siasa za hovyo za mpira....Kama kuna klabu itakayokataa baasi, Vodacom wasijihusishe nao na pesa wanyimwe.
Sasa hivi Yanga wamepevuka wanajitambua.Yanga wamedeka.....Ni ushamba uliopitiliza kabsa. Yanga waliwahikugomea pesa za ufadhili za Azam wakigomea kuwa ni ndogo wakat wa Manji, leo zile zile million 100 wanapiga magoti kuzichukua. Ni siasa za hovyo za mpira....Kama kuna klabu itakayokataa baasi, Vodacom wasijihusishe nao na pesa wanyimwe.