Tetesi za mdhamini wa Ligi Kuu Tanzania

Tetesi za mdhamini wa Ligi Kuu Tanzania

Wabadili na rangi ya damu za miili yao iwe kijani na njano
Yanga wamedeka.....Ni ushamba uliopitiliza kabsa. Yanga waliwahikugomea pesa za ufadhili za Azam wakigomea kuwa ni ndogo wakat wa Manji, leo zile zile million 100 wanapiga magoti kuzichukua. Ni siasa za hovyo za mpira....Kama kuna klabu itakayokataa baasi, Vodacom wasijihusishe nao na pesa wanyimwe.
 
Sasa hivi Yanga wamepevuka wanajitambua.
 
Back
Top Bottom