Yanga wamedeka.....Ni ushamba uliopitiliza kabsa. Yanga waliwahikugomea pesa za ufadhili za Azam wakigomea kuwa ni ndogo wakat wa Manji, leo zile zile million 100 wanapiga magoti kuzichukua. Ni siasa za hovyo za mpira....Kama kuna klabu itakayokataa baasi, Vodacom wasijihusishe nao na pesa wanyimwe.