GE2025 Tetesi za ndani: Ndani ya saa chache zijazo, INEC wanataka kumtangaza Samia kuwa Mshindi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mmmh! I smell something fish here , anyway nikweli tupo kwenye matatizo ,kama hitaji naomba kujua wewe ni mbongo wawapi mwenzetu ?

Kwenye kuchoma BoT hapo umeniogopesha kiaina 🤣

Halafu hapo kwenye #petroleum siyo kama hatujui ni petrol ila sisi wala mihogo hatuitagi hivyo 🤣🤣

Sorry mbongo mwenzetu ,pls tusifike huko ,naona lengo lako nikutoboa mfuko, hebu ngoja .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…