Tetesi: Tetesi Za Rais Magufuli kupata tuzo zakimataifa zachafuliwa na team X

Ukipenda kufuwatilia mambo ya dunia utajuwa mambo mazito usio yajuwa na kama ulifikiri umafia ulikuwa italia na nchi zingine basi juwa umafia unaweza kufanywa hata hapa taifa letu tusiamini..

Siku chache baada ya balozi wa China kusema Mh Magufuli ndio habari ya dunia. Kundi fulanix lili jianda kufanya kituko kitakacho mchafuwa mh rais wetu.. Dunia nzima na kumfanya aonekane yeye ni Rais gaidi...

Muda mchache tu baada ya lisu kupigwa risasi video ilifika nje before hata sisi wa bongo hatujajuwa kiukweli hili nalo lichunguzwe othewise tujuwe taif aletu tuna safari ndefu

Lisu walitaka apelekwa nairobi kisa awahamini uduma zetu lakini ni dr wa dodoma waliokoa maisha yake..

Aljazeera na baloz za nje walipata taarifa za ya tukio hilo nakuihusisha na serikali

Yote haya nikumuharibia sura yakimataifa rais wetu...

Je nani ni msaliti wa taifa letu na nikwamasilah yanini
Binafsi nakushauri uende shule kwanza. Hujafanikiwa kujua kusoma na kuandika vizuri. Kifupi umekosa sifa ya kuchangia chochote kwenye Jukwaa kama hili.
 
Ukipenda kufuwatilia mambo ya dunia utajuwa mambo mazito usio yajuwa na kama ulifikiri umafia ulikuwa italia na nchi zingine basi juwa umafia unaweza kufanywa hata hapa taifa letu tusiamini..

Siku chache baada ya balozi wa China kusema Mh Magufuli ndio habari ya dunia. Kundi fulanix lili jianda kufanya kituko kitakacho mchafuwa mh rais wetu.. Dunia nzima na kumfanya aonekane yeye ni Rais gaidi...

Muda mchache tu baada ya lisu kupigwa risasi video ilifika nje before hata sisi wa bongo hatujajuwa kiukweli hili nalo lichunguzwe othewise tujuwe taif aletu tuna safari ndefu

Lisu walitaka apelekwa nairobi kisa awahamini uduma zetu lakini ni dr wa dodoma waliokoa maisha yake..

Aljazeera na baloz za nje walipata taarifa za ya tukio hilo nakuihusisha na serikali

Yote haya nikumuharibia sura yakimataifa rais wetu...

Je nani ni msaliti wa taifa letu na nikwamasilah yanini
Thread ya nne asubuhi hii. Bila shaka utakuwa kuna kitu kinakusumbua. Halafu hakuna hata moja basi inayoeleweka. Unaishia kutaja wengine wasaliti, utafikiri wazalendo ni hao unaowatetea.
Mtu anaewabomolesha wa Dar, na kusema wa Mwanza wasibomoleshwe kisa walimpa kura ndio mzalendo. Mwl Julius K. Nyerere angemsulubu huyu. Hafai hata kidogo
 
Back
Top Bottom