Nakesha kwenye habari na aljazeera ndio walirushaWe jamaa ulie anzisha uzi huu... Unahukakika habari zilifika nje kabla ya hapa TZ... Usikulupuke do simple research uje upya... No data no right to talk..
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi nakushauri uende shule kwanza. Hujafanikiwa kujua kusoma na kuandika vizuri. Kifupi umekosa sifa ya kuchangia chochote kwenye Jukwaa kama hili.Ukipenda kufuwatilia mambo ya dunia utajuwa mambo mazito usio yajuwa na kama ulifikiri umafia ulikuwa italia na nchi zingine basi juwa umafia unaweza kufanywa hata hapa taifa letu tusiamini..
Siku chache baada ya balozi wa China kusema Mh Magufuli ndio habari ya dunia. Kundi fulanix lili jianda kufanya kituko kitakacho mchafuwa mh rais wetu.. Dunia nzima na kumfanya aonekane yeye ni Rais gaidi...
Muda mchache tu baada ya lisu kupigwa risasi video ilifika nje before hata sisi wa bongo hatujajuwa kiukweli hili nalo lichunguzwe othewise tujuwe taif aletu tuna safari ndefu
Lisu walitaka apelekwa nairobi kisa awahamini uduma zetu lakini ni dr wa dodoma waliokoa maisha yake..
Aljazeera na baloz za nje walipata taarifa za ya tukio hilo nakuihusisha na serikali
Yote haya nikumuharibia sura yakimataifa rais wetu...
Je nani ni msaliti wa taifa letu na nikwamasilah yanini
Umenifurahisha sana! your comment is not only fantastic but also exhilarating!Lisura lake libaya huna haja ya kujisumbua kuliharibu.
Liroho ndio balaa zaidi.
Thread ya nne asubuhi hii. Bila shaka utakuwa kuna kitu kinakusumbua. Halafu hakuna hata moja basi inayoeleweka. Unaishia kutaja wengine wasaliti, utafikiri wazalendo ni hao unaowatetea.Ukipenda kufuwatilia mambo ya dunia utajuwa mambo mazito usio yajuwa na kama ulifikiri umafia ulikuwa italia na nchi zingine basi juwa umafia unaweza kufanywa hata hapa taifa letu tusiamini..