Tetesi: Tetesi za Rayvany Kusepa Wasafi zinazidi kufukuta

Tetesi: Tetesi za Rayvany Kusepa Wasafi zinazidi kufukuta

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
4,043
Reaction score
8,686
Leo kafuta post zake Zote kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Usafini Kuna nini jamani? Kufuta post kunaashira dogo anataka kuanza upya au Anatakata kukabidhi akaunt yako kama ilivyo kawaida kwa Wcb kuwanyanganya akaunt zao zote wasanii wake pindi wanapojitoa kwenye label.
IMG_20200507_125641_479.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo itakuwa hacked...
Tusubirie kauli!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jarbu kula ushibe eeh..aya mambo haya itaji njaa uta kufa bure
 
Back
Top Bottom