Tetesi: Tetesi za Rayvany Kusepa Wasafi zinazidi kufukuta

Watu wa mkoani Mbeya wanaweza kumuambia asirudi tena tukuyu
 
Huyu jamaa Robidinyo nahisi ni Hance Mtanashati katika shati tofauti (yale ya brother k).

Nayasema haya kwakuwa
"the rise of robidinyo ndo ikawa the fall of hance"

Nadhani wote mnamjua huyu hance alikuwa kama innocent dependent, kila taarifa ya mond na genge lake alikuwa lazima apost... na wadau humu walikuwa hawaishi kumshambulia

Sasa hance akaamua aje kivingine kwa njia nyingine ya uhater bila kulose FOCUS yake...

Naposema FOCUS namaanisha lengo lake kuu ni kutupa habari na taarifa za WCB kwa njia ya kuwashambulia lakini ujumbe unakuwa umefika
 
Habari, ahsante kwa kuwasiliana nasi, tunapenda kukufahamisha kuwa tumeyapokea maoni yako ya Ovyo Ovyo, aya kanye ukojoe ukale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa Robidinyo nahisi ni Hance Mtanashati katika shati tofauti (yale ya brother k).

Nayasema haya kwakuwa
"the rise of robidinyo ndo ikawa the fall of hance"

Nadhani wote mnamjua huyu hance alikuwa kama innocent dependent, kila taarifa ya mond na genge lake alikuwa lazima apost... na wadau humu walikuwa hawaishi kumshambulia

Sasa hance akaamua aje kivingine kwa njia nyingine ya uhater bila kulose FOCUS yake...

Naposema FOCUS namaanisha lengo lake kuu ni kutupa habari na taarifa za WCB kwa njia ya kuwashambulia lakini ujumbe unakuwa umefika
Aisee
 
Back
Top Bottom