Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁🤣haka ka robindinyo bhana kakisha angalia spartacus ndo kanakuja kupost upupu
African Tanzanian
😁😁😁Kama hii habari ni ya kweli hakikisheni innocent dependent hakai peke yake anaweza kunywa sumu kwa jazba.
Pesa ziko kwa matahira na mazumbukuku walio wengi zaidi Tanzania embu tufanye jambo mkuu tupige hela za kutosha kabla hawajaanza kupata akili.Kama haijawa hacked, basi kuna nyimbo mpya soon. ujanja mwingi
yah mendez walikua na mgogoro ambapo baada ya jazba wakaumaliza.Pesa ziko kwa matahira na mazumbukuku walio wengi zaidi Tanzania embu tufanye jambo mkuu tupige hela za kutosha kabla hawajaanza kupata akili.
Mendez alivyofuta tu yale maneno ikawa ni breaking news, mtu kufuta post alizopost mwenyewe ni breaking news hahahaha ulofa huu
Lete idea tufanye kitu.Pesa ziko kwa matahira na mazumbukuku walio wengi zaidi Tanzania embu tufanye jambo mkuu tupige hela za kutosha kabla hawajaanza kupata akili.
Mendez alivyofuta tu yale maneno ikawa ni breaking news, mtu kufuta post alizopost mwenyewe ni breaking news hahahaha ulofa huu
Kwa kuwa ni upumbavu ndio unatakiwa tuanze na kumtongoza Wema Sepetu nina kabajaj hakana kazi hadi kanaelekea kuotewa majani tuanze kumpia misele na waandishi wa online Tv nitawalipa!Lete idea tufanye kitu.
Wewe umejuaje ni dem wake?yah mendez walikua na mgogoro ambapo baada ya jazba wakaumaliza.
Wasafi wataazidi kutrend kutokana na mazumbukuku Kama nyinyi yaani mtu kufuta picha zake imekuwa story?yah mendez walikua na mgogoro ambapo baada ya jazba wakaumaliza.
Huyo jamaa pamoja nakuwa ni mtu mzima na member wa muda mrefu wa jamiiforum lakini akili yake haina tofauti na mtoto wa kindergarten we mpuuze tu.Wewe umejuaje ni dem wake?
🤣 🤣 🤣 unaongea na mleta mada au unaongea na simu??Wasafi wataazidi kutrend kutokana na mazumbukuku Kama nyinyi yaani mtu kufuta picha zake imekuwa story?
hahaha hapa tayari umeshapanic.Wewe umejuaje ni dem wake?
NotedHuyo jamaa pamoja nakuwa ni mtu mzima na member wa muda mrefu wa jamiiforum lakini akili yake haina tofauti na mtoto wa kindergarten we mpuuze tu.
Kama hii habari ni ya kweli hakikisheni innocent dependent hakai peke yake anaweza kunywa sumu kwa jazba.
yees kweli kabisa mzazi anatakiwa kuwa positive pale mtoto anaposema amekua na anataka kujitegemea.Hahahaha wewe jamaa ni mchokozi sana mtu anywe sumu kabisa kisa RayVanny!
Lakini Diamond lazima atambue wazi kabisa ni lazima wasanii wake anao waleo na alio walea hadi sasa lazima kuna siku wataondoka au watataka kuondoka na hilo halihitaji kuwa na utabiri liko wazi!
Kwa hiyo Diamond anatakiwa kuwekeza kweli kweli bila kujali au kununa kwakuwa ni swala la kawaida maana hata wazazi wetu huwa wanatulea lakini baadae tunaona ni vyema kuondoka nyumbani na kuanza maisha mapya!
Vivyo hivyo Diamond ni kama mzazi lazima akubali kuwa vijana wake lazima wataondoka na kutaka kujitegemea na asiwe na moyo wa kukunjika au kununa au kuvunjika moyo!
Itakuwa jambo jema sana hata kama vijana wataondoka lakini wakeendelea kuwa na mahusiano mazuri nae kama msanii mwenzie
Sent from my iPhone using Tapatalk
Kule wasikopenda shoo ofu?
😂😂😂😂😂😂😂 nilivyoanza huko juu nilikuwa nilikuwa makini.. ila nilipofika chini😂Write your reply...lazima aende kwenye lebo international ya kimuziki Africa na Dunia nayo ni KiNG MUSICS hata Birdman alishawahi kuulizwa ukiachia young money cash money IPI lebo Kali alisema kings music ya Tz
sema kiba alimwambia akataze media wa kule kuirusha hyo habari sababu hapendagi show off