Tetesi: Tetesi za Rayvany Kusepa Wasafi zinazidi kufukuta

Tetesi: Tetesi za Rayvany Kusepa Wasafi zinazidi kufukuta

Pesa ziko kwa matahira na mazumbukuku walio wengi zaidi Tanzania embu tufanye jambo mkuu tupige hela za kutosha kabla hawajaanza kupata akili.

Mendez alivyofuta tu yale maneno ikawa ni breaking news, mtu kufuta post alizopost mwenyewe ni breaking news hahahaha ulofa huu
Alilazimishwa afute na Boss wake simu na Email za madeal hazipiti tena kwake..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuwa ni upumbavu ndio unatakiwa tuanze na kumtongoza Wema Sepetu nina kabajaj hakana kazi hadi kanaelekea kuotewa majani tuanze kumpia misele na waandishi wa online Tv nitawalipa!

Tunampigia magoti mabaunsa hata wakitubeba watutupe hatukomi akitupa tu attention yake tunaachana naye tunahamia kwa Zuchu saivi trend ipo kwa haka by the time tunakuja kumaliza upumbavu tumeshakuwa ma celebrity [emoji13][emoji13] na ubalozi tutapata.

Alafu zile Post ambazo tulikuwa tunapost IG tunafuta zote kina Robinyo wanakuja kutengeneza habari
Ona huyu, Kabla ya Kufika huku Mabaunsa watakua wameshakupukutisha Meno ya mbele umekua kibogoyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alilazimishwa afute na Boss wake simu na Email za madeal hazipiti tena kwake..

Sent using Jamii Forums mobile app
Unasikitisha sana wewe.
Unamjua manager wa Rayvanny ni nani?
Unajua ukitaka kumpata Rayvanny aje kwenye show yako unawasiliana na nani na utamlipa nani?

Unamjua nani anayefanya kazi ya IT kulinda mitandao ya kijamii ya WCB yote (exclude Wasafi media) ni nani?
Unamjua mwenye maamuzi pale WCB ni nani?
 
Mi nazungumzia Inshu ya Sallam na Diamond, kijana mbona unakurupuka kama muoga nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana kweli kijana anaamsha , Diamond alipopost sukuma ndinga , naona rosalee Tu ndo alireply skuona reply ya Rayvanny kama tulivyozoea , with in few days mtu kafuta post zotee, nouma sana
 
We jamaa mbona una wawaza wasafi mda wote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] badala ya kuipambania label yako kubwa ya kings music any ways wewe pia ni shabiki muhimu wa wasafi unaetumia indirect rules....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom