Latrice JF-Expert Member Joined Jan 30, 2020 Posts 2,389 Reaction score 2,366 May 9, 2020 #101 Robidinyo said: Mi nazungumzia Inshu ya Sallam na Diamond, kijana mbona unakurupuka kama muoga nje. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... I see
Robidinyo said: Mi nazungumzia Inshu ya Sallam na Diamond, kijana mbona unakurupuka kama muoga nje. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... I see
Chinga One JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 11,469 Reaction score 12,391 May 10, 2020 #102 Robidinyo said: Ona huyu, Kabla ya Kufika huku Mabaunsa watakua wameshakupukutisha Meno ya mbele umekua kibogoyo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... uchunguzi unaendelea
Robidinyo said: Ona huyu, Kabla ya Kufika huku Mabaunsa watakua wameshakupukutisha Meno ya mbele umekua kibogoyo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... uchunguzi unaendelea
kidunula1 JF-Expert Member Joined Apr 2, 2016 Posts 6,305 Reaction score 6,341 May 10, 2020 #103 Daudi Mchambuzi said: yah mendez walikua na mgogoro ambapo baada ya jazba wakaumaliza. Click to expand... Duuu basi huko hawajajipanga. Kwa hiyo huko watu wakikwazana tu mtu anafuta kila kitu kisha wanamalizana ndipo anarudi tena!? Sent using Jamii Forums mobile app
Daudi Mchambuzi said: yah mendez walikua na mgogoro ambapo baada ya jazba wakaumaliza. Click to expand... Duuu basi huko hawajajipanga. Kwa hiyo huko watu wakikwazana tu mtu anafuta kila kitu kisha wanamalizana ndipo anarudi tena!? Sent using Jamii Forums mobile app