SawaMkuu huyo mchezaji ashanitoka, kama uko "jikoni" waambie wadau waachane nae. Kwanza naona hii vita japo tumeiweza kwa wachezaji wengine wazur ila naona wemgine kama.hawa maadui zetu ikiwemo yanga wanaongea na vilabu wasitupe wachezaji tunaowataka au wanakwamisha ..nikitaka nijue meneja au anaemsimamia Lawi ni nani
Huyu dogo ni mchezaji mkubwa ana kipaji hasaValentino Mashaka Mnyama
YeahYule dogo wa Geita..?
SureHuyu dogo ni mchezaji mkubwa ana kipaji hasa
Simba inasifika kwa kuua vipaji vya vijana wa Kitanzania , atapigwa benchi hadi achakaeHuyu dogo ni mchezaji mkubwa ana kipaji hasa
Kumbe unakuwa na akili sometimesHuyu dogo ni mchezaji mkubwa ana kipaji hasa
Uto ni dampo la Simba ScBaleke amesain Yanga miaka 2
Karibu team ya wananchi Baleke
Hili lilikuwa swala la muda tu, Tate MkuuAwesu Awesu to Young Africans?
Hapana, huyu ni shabiki kindakindaki wa simba na hio ndo sababu ya kuchelewa kukamilika kwa deal lakeKiungo mnyumbulifu sana huyu. Na kwa sababu tayari alishakuwa na damu ya njano na kijani; naamini atatusaidia sana wananchi.
Haieleweki hii dili hadi sasaVipi Jonathan Sowah..?
rasmi Fadlu Davids na benchi lake wametambulishwaHatimaye makocha wa Simba watatambulishwa leo saa mbili kama nilivyoripoti
Matola hajapata team ya league kuu bado..?Ni
rasmi Fadlu Davids na benchi lake wametambulishwa
Ni kweli mkuu, akichezaga dhidi ya Simba anakichafua sana.Kiungo mnyumbulifu sana huyu. Na kwa sababu tayari alishakuwa na damu ya njano na kijani; naamini atatusaidia sana wananchi.
Atatoka Simba Kwa kufukuzwa labdaMatola hajapata team ya league kuu bado..?