Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Mkuu huyo mchezaji ashanitoka, kama uko "jikoni" waambie wadau waachane nae. Kwanza naona hii vita japo tumeiweza kwa wachezaji wengine wazur ila naona wemgine kama.hawa maadui zetu ikiwemo yanga wanaongea na vilabu wasitupe wachezaji tunaowataka au wanakwamisha ..nikitaka nijue meneja au anaemsimamia Lawi ni nani
Sawa
 
Kiungo mnyumbulifu sana huyu. Na kwa sababu tayari alishakuwa na damu ya njano na kijani; naamini atatusaidia sana wananchi.
Hapana, huyu ni shabiki kindakindaki wa simba na hio ndo sababu ya kuchelewa kukamilika kwa deal lake
 
Back
Top Bottom