Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Endelea kujapa moyo, lakini wakala keshasema.
Nibora amuuze Miembeni fc lakini sio kwa makolo.
Ni mpaka mutakapo mlipa $5000 zake.
Hiyo ni sh ngapi Kwa hela ya madafu? Mnadanganyana tu vijiweni
 
Kama unakuja tarehe 4 Agosti kumuangalia rasta nakusihi usijisumbue. Hutamuona
 
Hiyo ni sh ngapi Kwa hela ya madafu? Mnadanganyana tu vijiweni
$5000, ni sawa na M13+ kwa pesa yetu ya mabungo.
Tunacho ongopeana vijiweni ni nini?
Kwani ni uongo kua wakala wa Mpanzu anawadaini vibunda vyake?
 
Endelea kujapa moyo, lakini wakala keshasema.
Nibora amuuze Miembeni fc lakini sio kwa makolo.
Ni mpaka mutakapo mlipa $5000 zake.
Wakala wa Ellie Mpanzu amesema Viongozi wa Simba ni janja janja sana yaani mpaka huelewi unadeal na nani maana kila Kiongozi yupo front. Kiasi kwamba katika dili iliyopita walimrusha dola zake 5,000 mpaka kesho. Labda wamlipe hizo dola zake ili warudishe imani ndio awezeshe dili la Mpanzu.
 
Dili lililopita ni lipi?
 
$5000, ni sawa na M13+ kwa pesa yetu ya mabungo.
Tunacho ongopeana vijiweni ni nini?
Kwani ni uongo kua wakala wa Mpanzu anawadaini vibunda vyake?
Unaumia pole?

Huyo ni dalali tu asikupe kiburi jianda kwa maumivu wakala hawai kuzuia mchezaji kwenda timu fulani kama huyo mchezaji anataka kuchezea timu, ila mchezaji ana uwezo wa kuikataa timu na wakala asifanye chochote, Boss wa Wakala ni mchezaji

Kaa kwa kutulia Tarehe 8 mpanzu yupo tayari kwa kuwapelekea moto
 
😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…