Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
cc. Mfufua NyuziCAF wasipoteze fedha CAFCC, kama inawezekana wawape tu Simba hilo kombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
cc. Mfufua NyuziCAF wasipoteze fedha CAFCC, kama inawezekana wawape tu Simba hilo kombe
CC. Mfufua Nyuzi.Ili kuepusha usumbufu Tff na Caf watupe makombe yetu
Kwani Simba inasajili wachezaji wangapi wa kigeni msimu huu! Maana kila mchezaji ni mnyama, au anatakiwa na simba sc!!Valentine Mashaka anatakiwa na Simba SC
Huyu Valentino ni mchezaji wa geita na ni m tzKwani Simba inasajili wachezani wa kigeni msimu huu! Maana kila mchezaji ni mnyama, au anatakiwa na simba sc!!
Mbona kama vurugu ni nyingi sana! Cha kushangaza Yanga ambao ni Mabingwa wa ligi kuu na kombe la shirikisho kwa miaka takribani mitatu sasa, wanafanya mambo yao kimya kimya, kama hawapo vile.
Ila ukiangalia huko nyuma utaona kuna idadi kubwa sana ya wachezaji wa kigeni. Na wote wanahusishwa kusajiliwa simba! Thats why nimeuliza.Huyu Valentino ni mchezaji wa geita na ni m tz
Vipengele vya Mkataba wake ni vigumu mno.Vp feisal salum atasinya simba kweli?
Sijaelewa logic yako hapa! Am sorryKwani Simba inasajili wachezaji wangapi wa kigeni msimu huu! Maana kila mchezaji ni mnyama, au anatakiwa na simba sc!!
Mbona kama vurugu ni nyingi sana! Cha kushangaza Yanga ambao ni Mabingwa wa ligi kuu na kombe la shirikisho kwa miaka takribani mitatu sasa, wanafanya mambo yao kimya kimya, kama hawapo vile.
Hapo ndipo amenikwaza tena nmekwazika sana heri ww mkuu umenielewa! uchawi sio utaniMwasibu kuwa muelewa. Kumhusisha tu na uchawi, kisa mtu ametoa maoni yake; siyo poa. Kimsingi tunatakiwa tuchukuliane humu jukwaani.
Sio utani ww una nyuzi nyingi tu unaona tunakutania ila alichokifanya huyo mtu alioni quote ni Disrespect kuna utani na kuvunjiana heshima! Tena kwa comment ambayo nimetania tu kama ilivyo kawaida ya sisi Simba na yanga nashangaa mtu ananiambia niache uchawi nitafute hela hee!!!Upo sahihi lakini ukifatilia hiyo comment ya uchawi ni utani wa jadi tu kama sio jokes za jukwaani. Ukichukulia kila kitu serious basi social media hazimfai
Ni kweli father ila ukiona kipa nje anapasha mtokaji si kiungo.,...Ila ukiangalia huko nyuma utaona kuna idadi kubwa sana ya wachezaji wa kigeni. Na wote wanahusishwa kusajiliwa simba! Thats why nimeuliza.
Duh noma sana. Sio pesa, bali afya.Idumba Fasika hatajiunga n Simba SC baada ya kufeli vipimo vya afya
Imeishaa hio...ila mkuu, usajili wa Lawi...naona kuna maruweruwe, kweli alitakiwa/anatakiwa ulaya kwa milioni 800+?Beki wa Ivory Coast tayari
Beki wa kushoto wa kimataifa tayari
Mpanzu tayari.
Kagoma tayari
Hapo sawa, hapo unasevu mshahara wa bure wa watu watano ama wanne wasiotakiwa.Hadi Sasa Simba ina wachezaji wa kigeni wafuatao:
1. Ayoub Lakred
2. Nourmah
3. Malone Fondoh
4. Chernou Kaboue
5. Augustine Okejepha
6. Jean Ahour
7. Steven Mukwala
8. Joshua Mutale
9. Elie Mpanzu
10. Fabrice Ngoma
11. Freddy Michael
12. Saido Kanoute
13.Babakar Sarr
14. Pa Omar Jobe
15. Aubin Kramo
16. Mosses Phiri
17. Esomba Onana
N.B: Jobe ataondoka, Phiri aataondoka, Kramo ataondoka, Babacar au Kanoute mmojawapo ataondoka
Embu achana na wachawi mkuu. Tuendelee na discussion!Siongei habari za vilabuni wala vijiwe vya kahawa bro! Najua ninachokisema
Unaona sasa...humu nchini wanaoua vipaji sababubya tamaa mbovu ya hela ni wabongo hawa hawa wanaojiita viongozi..wachezaji wangap wamepita simba na saivi wako ulaya au walienda ulaya ama kaskazin mwa afrika..huyo mchezaji nae hajielewi angekua na msimamo mkali na proffesional asingewalamba miguuYuko Ulaya Kwa mkopo ila hapati nafasi
Huyu Yao anazidiwa uwezo hata na Pa omarYao Jean Charles to Simba? Fred vipi?
Mkuu suluhisho hapo ni private sms. Binafsi hata majina sikumbukagi zaidi ya yale machache mno ambayo imetokea kuyafahamu kutokana na hulka au aina ya jina sasa unaweza zuia nisikujibu baadae nisijue kama ni wewe ndo ulizuia nisijibu.Unaskia kiongozi: usiquote Comment zangu kwa makasiriko
Ukiziona zipite tu kuliko kuniandikia vitu vya ajabu
Inategemea uko Ulaya gani. Kuna timu nyingi tu Zina njaa hatari kuliko hukuUnaona sasa...humu nchini wanaoua vipaji sababubya tamaa mbovu ya hela ni wabongo hawa hawa wanaojiita viongozi..wachezaji wangap wamepita simba na saivi wako ulaya au walienda ulaya ama kaskazin mwa afrika..huyo mchezaji nae hajielewi angekua na msimamo mkali na proffesional asingewalamba miguu
Sawa mkuu asante kwa maelekezoMkuu suluhisho hapo ni private sms. Binafsi hata majina sikumbukagi zaidi ya yale machache mno ambayo imetokea kuyafahamu kutokana na hulka au aina ya jina sasa unaweza zuia nisikujibu baadae nisijue kama ni wewe ndo ulizuia nisijibu.