Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Valentine Mashaka anatakiwa na Simba SC
Kwani Simba inasajili wachezaji wangapi wa kigeni msimu huu! Maana kila mchezaji ni mnyama, au anatakiwa na simba sc!!

Mbona kama vurugu ni nyingi sana! Cha kushangaza Yanga ambao ni Mabingwa wa ligi kuu na kombe la shirikisho kwa miaka takribani mitatu sasa, wanafanya mambo yao kimya kimya, kama hawapo vile.
 
Kwani Simba inasajili wachezani wa kigeni msimu huu! Maana kila mchezaji ni mnyama, au anatakiwa na simba sc!!

Mbona kama vurugu ni nyingi sana! Cha kushangaza Yanga ambao ni Mabingwa wa ligi kuu na kombe la shirikisho kwa miaka takribani mitatu sasa, wanafanya mambo yao kimya kimya, kama hawapo vile.
Huyu Valentino ni mchezaji wa geita na ni m tz
 
Kwani Simba inasajili wachezaji wangapi wa kigeni msimu huu! Maana kila mchezaji ni mnyama, au anatakiwa na simba sc!!

Mbona kama vurugu ni nyingi sana! Cha kushangaza Yanga ambao ni Mabingwa wa ligi kuu na kombe la shirikisho kwa miaka takribani mitatu sasa, wanafanya mambo yao kimya kimya, kama hawapo vile.
Sijaelewa logic yako hapa! Am sorry
 
Mwasibu kuwa muelewa. Kumhusisha tu na uchawi, kisa mtu ametoa maoni yake; siyo poa. Kimsingi tunatakiwa tuchukuliane humu jukwaani.
Hapo ndipo amenikwaza tena nmekwazika sana heri ww mkuu umenielewa! uchawi sio utani
Upo sahihi lakini ukifatilia hiyo comment ya uchawi ni utani wa jadi tu kama sio jokes za jukwaani. Ukichukulia kila kitu serious basi social media hazimfai
Sio utani ww una nyuzi nyingi tu unaona tunakutania ila alichokifanya huyo mtu alioni quote ni Disrespect kuna utani na kuvunjiana heshima! Tena kwa comment ambayo nimetania tu kama ilivyo kawaida ya sisi Simba na yanga nashangaa mtu ananiambia niache uchawi nitafute hela hee!!!
 
Hadi Sasa Simba ina wachezaji wa kigeni wafuatao:
1. Ayoub Lakred
2. Nourmah
3. Malone Fondoh
4. Chernou Kaboue
5. Augustine Okejepha
6. Jean Ahour
7. Steven Mukwala
8. Joshua Mutale
9. Elie Mpanzu
10. Fabrice Ngoma
11. Freddy Michael
12. Saido Kanoute
13.Babakar Sarr
14. Pa Omar Jobe
15. Aubin Kramo
16. Mosses Phiri
17. Esomba Onana

N.B: Jobe ataondoka, Phiri aataondoka, Kramo ataondoka, Babacar au Kanoute mmojawapo ataondoka
Hapo sawa, hapo unasevu mshahara wa bure wa watu watano ama wanne wasiotakiwa.
 
Yuko Ulaya Kwa mkopo ila hapati nafasi
Unaona sasa...humu nchini wanaoua vipaji sababubya tamaa mbovu ya hela ni wabongo hawa hawa wanaojiita viongozi..wachezaji wangap wamepita simba na saivi wako ulaya au walienda ulaya ama kaskazin mwa afrika..huyo mchezaji nae hajielewi angekua na msimamo mkali na proffesional asingewalamba miguu
 
Unaskia kiongozi: usiquote Comment zangu kwa makasiriko
Ukiziona zipite tu kuliko kuniandikia vitu vya ajabu
Mkuu suluhisho hapo ni private sms. Binafsi hata majina sikumbukagi zaidi ya yale machache mno ambayo imetokea kuyafahamu kutokana na hulka au aina ya jina sasa unaweza zuia nisikujibu baadae nisijue kama ni wewe ndo ulizuia nisijibu.
 
Unaona sasa...humu nchini wanaoua vipaji sababubya tamaa mbovu ya hela ni wabongo hawa hawa wanaojiita viongozi..wachezaji wangap wamepita simba na saivi wako ulaya au walienda ulaya ama kaskazin mwa afrika..huyo mchezaji nae hajielewi angekua na msimamo mkali na proffesional asingewalamba miguu
Inategemea uko Ulaya gani. Kuna timu nyingi tu Zina njaa hatari kuliko huku
 
Mkuu suluhisho hapo ni private sms. Binafsi hata majina sikumbukagi zaidi ya yale machache mno ambayo imetokea kuyafahamu kutokana na hulka au aina ya jina sasa unaweza zuia nisikujibu baadae nisijue kama ni wewe ndo ulizuia nisijibu.
Sawa mkuu asante kwa maelekezo
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom