TETESI ZA USAJILI:Tambwe kuibana yanga mkataba mpya

EdLach

Member
Joined
Jun 19, 2017
Posts
5
Reaction score
3
Taarifa zilizo tufikia hivi punde zinasema kuwa mshambuliaji hatari wa YANGA AMISI TAMBWE ameutaka uongozi umpatie kiasi cha sh. Mil 80 ili asini mkataba mwingine. Vile vile kuna timu hapa tanzania wa nahitaji huduma yake kwa dau 100 na gari la kutembelea
 
Taarifa zilizokufikia wewe na nani...umezitolea wapi

Chanzo cha habari tafadhali
 
Anayetoa milioni 100 nani we utakua wakala wa Tambwe
 
Mimi ni shabiki wa Yanga....kati ya wachezaji ambao nataka nione wanasepa msimu huu TAMBWE ni mmoja wao....
 
Tambwe umeshazeeka, milioni 100 akupe nani? Mpira wa sasa ni colaborative, kila mtu anasaidia kushambulia na kuzuia jambo ambalo Tambwe hawezi. Anasubiri kizaazaa ndani ya 18 atupie. Kwa uzee wa Tambwe, timu inayomsajili haitampa mkataba mrefu

We n hawara aliekutuma wambie aondkke haraka Yanga aina kurembaa allah ameondoka niyonzima sembuse tambwe
 
Mimi ni shabiki wa Yanga....kati ya wachezaji ambao nataka nione wanasepa msimu huu TAMBWE ni mmoja wao....

Kwangu mimi wachezaji wa kuondoka Yanga n Niyonzima, Bossou na Ngoma...Huyo Tambwe anaweza akabaki ;lakini siyo milioni 80...kama anataka anataka hizo aondoke...thamani ya Tambwe ni milioni 10 shilingi za Tanzania.
 
nAWEWE UMECHEMSHA LABDA MIL 10 ZA UGANDA
 
Tambwe thamani yake kwa kumuhurumia ni 25 Mil zaidi ya hapo wamwache aende apendako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…