demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Tambwe = Rooney.mshamchoka mtani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tambwe = Rooney.mshamchoka mtani?
Kwa nini mkuu,huyo na kamusoko ndo wachezaji wenye moyo na wasio na masihala uwanjani.
AondokeTaarifa zilizo tufikia hivi punde zinasema kuwa mshambuliaji hatari wa YANGA AMISI TAMBWE ameutaka uongozi umpatie kiasi cha sh. Mil 80 ili asini mkataba mwingine. Vile vile kuna timu hapa tanzania wa nahitaji huduma yake kwa dau 100 na gari la kutembelea