TETESI ZA USAJILI:Tambwe kuibana yanga mkataba mpya

TETESI ZA USAJILI:Tambwe kuibana yanga mkataba mpya

Kwa nini mkuu,huyo na kamusoko ndo wachezaji wenye moyo na wasio na masihala uwanjani.

Licha ya kuwa Age inaenda, uwezo wake unapungua.

By the way...kwa sasa pale Yanga hatuhitaji tena (striker), nadhani tunahitaji (center forward) mambo ya kungoja kulishwa mipira ndio ufunge sio kabisa..

Nimemfuatilia sana Last season.
 
Taarifa zilizo tufikia hivi punde zinasema kuwa mshambuliaji hatari wa YANGA AMISI TAMBWE ameutaka uongozi umpatie kiasi cha sh. Mil 80 ili asini mkataba mwingine. Vile vile kuna timu hapa tanzania wa nahitaji huduma yake kwa dau 100 na gari la kutembelea
Aondoke
 
Huu mwaka watani wataisoma namba kweli kweli. Majuzi Nilisikia Tetesi za kurudi Kanjibhahi..............!!
 
Back
Top Bottom