Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anayetoa milioni 100 nani we utakua wakala wa TambweTaarifa zilizo tufikia hivi punde zinasema kuwa mshambuliaji hatari wa YANGA AMISI TAMBWE ameutaka uongozi umpatie kiasi cha sh. Mil 80 ili asini mkataba mwingine. Vile vile kuna timu hapa tanzania wa nahitaji huduma yake kwa dau 100 na gari la kutembelea
Kwa nini mkuu,huyo na kamusoko ndo wachezaji wenye moyo na wasio na masihala uwanjani.Mimi ni shabiki wa Yanga....kati ya wachezaji ambao nataka nione wanasepa msimu huu TAMBWE ni mmoja wao....
Sifa zote zile mara hii Umemchoka?Mimi ni shabiki wa Yanga....kati ya wachezaji ambao nataka nione wanasepa msimu huu TAMBWE ni mmoja wao....
We n hawara aliekutuma wambie aondkke haraka Yanga aina kurembaa allah ameondoka niyonzima sembuse tambweTaarifa zilizo tufikia hivi punde zinasema kuwa mshambuliaji hatari wa YANGA AMISI TAMBWE ameutaka uongozi umpatie kiasi cha sh. Mil 80 ili asini mkataba mwingine. Vile vile kuna timu hapa tanzania wa nahitaji huduma yake kwa dau 100 na gari la kutembelea
Mimi ni shabiki wa Yanga....kati ya wachezaji ambao nataka nione wanasepa msimu huu TAMBWE ni mmoja wao....
Kwangu mimi wachezaji wa kuondoka Yanga n Niyonzima, Bossou na Ngoma...Huyo Tambwe anaweza akabaki ;lakini siyo milioni 80...kama anataka anataka hizo aondoke...thamani ya Tambwe ni milioni 10 shilingi za Tanzania.
Vp mbn povuTaarifa zilizokufikia wewe na nani...umezitolea wapi
Chanzo cha habari tafadhali
Hahahah mchezaji muhimu yule mkuu....wasiwasiVp mbn povu
Labda kuna timu ya netball inamhitaji kwa dau hilo mkuuTambwe sio mchezaji wa kupewa ata laki 7 za usajiri hajui mpira
mshamchoka mtani?Mimi ni shabiki wa Yanga....kati ya wachezaji ambao nataka nione wanasepa msimu huu TAMBWE ni mmoja wao....