Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Na hili la kutokubaliana na ukweli ndio tatizo letu..
Tunaamin kwny mambo ya nje ya uwanja kuliko kujipanga uwanjani.. Mpira ni sayansi hakuna janja janja..

Mtu anazidiwa uwanjani kiufundi anasingzia uchawi sijui madudu gani..

Aisee uchawi ungekuwepo kwenye soka kama wanavyoutaja basi Nigeria wangeshachukua world cup.
 
Uchawi unazidiana viwango
 
Simba inapaswa iwe makini mno na Usajili wa Dirisha Hili.
Unafikiri mkuu watu hawapo wa kufanya haya ...watu tunajua Hadi wachezaji ambao hawajulikani lakin ni moto wa kuotea mbali, Congo huko, Gabon, mali, guinea...watu wanasafri huko nchi mbalimbali , huku wengine unakuta wapo ofisin wanatafuta wachezaj wakiwa ofisin..haya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…