Dube daah huyu jamaa basi tu kaka, walau hapo tumuweke Mzize kuliko Dube.Mjomba yule ni Muangola. Na amekuja kama chaguo la mwalimu, ambaye amewahi kuifundisha timu ya Taifa ya Angola.
Kwa namna alivyocheza jana na Prince Dube pale mbele, hakika kuna hatari kubwa inakuja kwa timu pinzani siku za usoni! Yaani timu iwe na Damaro, Duke Abuya, Allan Okello, Pacome, Depu, Nzengeli, na Dube!! Ni hatari na nusu.