Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Huyu mbumbumbu anawapumbaza mbumbumbu wenzake.
Fadlu wala hawezi kuwa coach wa Raja
Kwani kabla ya kwenda simba alikuwa katoka timu Gani ? Watu hamuelewi sijui hata maana ya rumours au tetesi kwamba kila anachoandika hapa ni sure....😂... Hichilema kweli una kazi kubwa
 
Naona ndugu yako kila akitoa boko unaye.

Binafsi nimestuka sana kuskia Al ahly wanamtaka Fadlu.
Yaani hata mimi imenishangaza kwa kweli. Kwa CV ipi au matokeo gani ambayo anayo hapa Simba hata kuwashawishi hao maboss wamchukue?

Muda ni hakimu mzuri, ngoja tuone.
 
Huyu jamaa ni mbumbumbu
Anadhani hapa jukwaani yamejaa mazuzu tu
Hivi kweli Fadlu aongoze bench la Ahly kweli?
Huyu coach wa Mutale ndo akawaelekeze akina Reda Slim, Mohamed Hany, kalaba Rami Rabia, Ally Malool
Labda wanamtaka akawe ball boy wao.
 
Mzee yusuf mwenda once said "huyu kocha tuliyenaye simba uwezo wake ni mdogo sana" yule Pedro Goncalves wa Angola ya kwenye CHAN anakitu kinachohitajika pale msimbazi ila Fadlu Davids duh! nimetubu aisee
 
Huyu mbumbumbu anawapumbaza mbumbumbu wenzake.
Fadlu wala hawezi kuwa coach wa Raja
Unapenda sana kuropoka upumbavu wewe, kati ya wewe na hao nani mbumbumbu, wewe ndio unapenda kuwapumbaza utopolo wenzio
 
Back
Top Bottom