Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Vedastus Masinde ni mnyama.
1. Vilabu vya Young Africans, Kaizer Chiefs na Simba SC vinapigana vikumbo kumpata Feisal Salum ( Fei Toto) ( COLLAPSED)
2. Mourice Abraham ni mnyama(CONFIRMED)
3. Thank you Augustine Okejepha (CONFIRMED)
4. Thank you Kouass Yao. Anaweza kubaki kama watamkosa mbadala sahihi ( CONFIRMED)
5. Golikipa wa JKT Tanzania , Yakubu Suleiman anavivutia vilabu vya Yanga na Simba (CONFIRMED)
6. Aish Manula anaelekea Azam FC, Yanga pia wanamnyatia (CONFIRMED- AZAM FC)
7. Thank you Sure boy
8. Thank you Jonas Mkude( CONFIRMED)
9. Abubakar Nazir ni mwananchi(CONFIRMED)
10. Frolent Ibenge ni kocha mpya wa Azam FC( CONFIRMED)
11. Kiungo raia wa Ivory Coast, Mohamed Doumbia anakaribia kujiunga na Young Africans SC (CONFIRMED)
12. Thank you Fabrice Ngoma (CONFIRMED)
13. Thank you Omary Omary(CONFIRMED)
14. Deborah Fernandez Mavambo anaweza kuachwa na Simba SC kama itampata mbadala wake ( CONFIRMED)
15. Farid Mussa anaweza kuondoka Yanga
16. Thank you Gibril Sylla ( CONFIRMED)
17. Jonathan Ikangalombo anaweza kuachwa na Yanga (CONFIRMED)
18. Ayoub Lakred ameondoka rasmi Simba SC (CONFIRMED)
19. Beki wa Al Hilal ya Sudan, Kadim Diaw anatakiwa na Simba SC( COLLAPSED)
20. Valentine Nouma anaweza kupewa thank you kama Simba itampata mbadala wake (CONFIRMED)
21. Celestine Ecua anavipiganisha vilabu vya Simba na Yanga(CONFIRMED)
22. Kennedy Musonda anaweza kuondoka Yanga. (CONFIRMED)
23. Lameck Lawi anaelekea Azam FC kama mambo hayatabadilika (CONFIRMED)
24. Higino Kapitango anatakiwa na Simba ( COLLAPSED)
25. Thank you Kocha wa Yanga, Miloud Hamd ( CONFIRMED)
26. Kiungo Mkabaji kutoka Mlandege, Abdulnassir Mohamed amesaini Yanga(CONFIRMED)
27. Ahmed Bakari Pipino wa KMC anawindwa Vikali na Azam Fc na Yanga
28. Himid Mao Mkami anatarajiwa kurejea Azam FC ( CONFIRMED)
29. Muhsin Malima anaelekea Azam(CONFIRMED)
30. Miguel Gamondi anaelekea Singida Black Stars ( CONFIRMED)
31. Malanga Horso Mwaku, anatakiwa na Yanga na Singida
32. Stephane Aziz Ki, hajawafurahisha mabosi wa Wydad, mkataba wa mkopo wa miezi miwili unaweza usiongezwe( COLLAPSED)
33. Khaled Ben Yahia anaweza kuwa kocha mpya wa Yanga kama mambo hayatabadilika(COLLAPSED)
34. Celestine Ecua ni mwananchi ( CONFIRMED)
35. Julien Chavenier naye anaweza kuwa kocha wa Young Africans(COLLAPSED)
36. Wilson Nangu wa JKT, anaweza kujiunga na Simba SC CONFIRMED)
37. Thank you Mzamiru Yassin
38. Thank you Aziz Andabwile ( COLLAPSED)
39. Thank you Hussein Kazi(CONFIRMED)
40. Thank you Kennedy Musonda(CONFIRMED)
41. Manishimwe Djabel amesaini Azam FC
42. Simba SC wanaangalia uwezekano wa kuingilia dili la Celestin Ecua kutua Yanga ( COLLAPSED)
43. Hussein Abel anaelekea Singida Black Stars kama mambo hayatabadilika
44. Souleymane Coulibally anaweza kusaini Simba(COLLAPSED)
45. Offen Chikola anaweza kujiunga na Young Africans ( CONFIRMED)
46. Keep an eye on Fondoh Malone ( CONFIRMED)
47. Mkataba wa Chama umeisha, hajasaini mwingine. Azam na Simgida wanamtolea macho ( CONFIRMED)
48. Thank you Fondoh Malone. Anauzwa Algeria ( CONFIRMED)
49. Edwin Balua anaelekea Cyprus kwa mkopo (CONFIRMED)
50. Mofosse Karidioula anatakiwa na Simba ( COLLAPSED)
51. Israel Mwenda huenda akasaini mkataba wa kudumu Yanga( CONFIRMED)
52. Thank you Kelvin Kijiri(CONFIRMED)
53. Balla Moussa Conte ni mnyama(COLLAPSED)
54. Celestine Ecua amekubali kusaini Yanga ( CONFIRMED)
55. Romain Folz anaweza kuwa kocha wa Yanga kama target nyingine zikigoma( CONFIRMED)
56. Charvey Onoya anatakiwa na Simba SC ( COLLAPSED)
57. Basiala Agey anatakiwa na Azam na Simba SC ( COLLAPSED)
58. Debora Fernandez Mavambo anaweza kuondoka Simba SC (CONFIRMED)
59. Japhite Kitambala anaweza kujiunga na Azam FC baada ya CHAN(CONFIRMED)
60. Keep an eye on Steven Mukwala
61. Keep an eye on Kibu Denis
62. Thank you Vicorien Adebayor(CONFIRMED)
63. Thank you Arthur Badda(CONFIRMED)
64. Keep an eye on Mohamed Hussein Zimbwe (CONFIRMED)
65. Romain Folz ndiye kocha mpya wa Yanga ( CONFIRMED)
66. Charles Semfuko anaweza kujiunga na Simba Sc(CONFIRMED)
67. Uwezekano wa kipa wa Yanga, Djigui Diara kuondoka ni mkubwa(COLLAPSED)
68. Keep an eye on Khalid Aucho( CONFIRMED)
69. Uwezekano wa Mohamed Hussein Zimbwe kubaki Simba ni mdogo sana. (CONFIRMED)
70. Keep an eye on Kibu Denis
71. Kelvin Mondeko anakaribia kujiunga Young Africans (COLLAPSED)
72. Che Malone Fondo kauzwa USM Algers ya Algeria(CONFIRMED)
73. Denis Nya anatakiwa na Simba SC(COLLAPSED)
74. Thank Debora Fernandez Mavambo(CONFIRMED)
75. Bosco Nchindo anatakiwa na Simba SC ( COLLAPSED)
76. Nouh El Abdi anatakiwa na Simba SC ( COLLAPSED)
77. Thank you Mohamed Hussein Zimbwe. (CONFIRMED)
78. Lassine Kouma anatakiwa na Simba , Yanga (CoNFIRMED , YOUNG AFRICANS)
79. Private Djessan anatakiwa na Simba SC
80. Edmund John anatakiwa na Yanga(CONFIRMED).
81. Cheikh Omar Faye anatakiwa na Azam Fc
82. Lamine Jarjou anaelekea Singida Black Stars (CONFIRMED)
83. Andy Boyel anatakiwa na Young Africans (CONFIRMED)
84.Dramane Kamagate anatakiwa na Simba SC
85. Abdallah Kulandana anatakiwa na Simba SC
86. Alassane Kante ni mnyama(CONFIRMED)
87 Keep an eye on Leonel Ateba ( CONFIRMED)
88. Mohamed Bajaber anatakiwa na Yanga, Simba pia (CONFIRMED, SIMBA SC)
89. Lasine Kouma anatakiwa pia na Yanga. Anakaribia kwenda huko( CONFIRMED)
90. Kiungo Rodriguez Kossi anatakiwa na Simba(COLLAPSED)
91. Thank you Denis Nkane
92. Keep an eye on Jonathan Sowah ( CONFIRMED)
93. Jonathan Sowah anatakiwa na Simba SC(CONFIRMD)
94. Jonathan Sowah ni mnyama,(CONFIRMED)
95. Leonel Ateba anaelekea kuuzwa(CONFIRMED)
96. Valentino Mashaka anaelekea Mbeya city kwa mkopo kama mambo hayatabadilika
97. Chama anatakiwa na Singida Black Stars (CONFIRMED)
98. Yahya Zayd anatakiwa na Simba SC
99. Rushine De Reuck ni mnyama( CONFIRMED)
100. Neo Maema wa Mamelod Sundowns anaelekea Simba SC ( CONFIRMED)
101. Idrisa Diomande anatakiwa na Singida Black Stars
102. Keep an eye on Feisal Salum
103. Miraji Abdallah Zombo anatakiwa na Simba SC
104. Feisal Salumu Abdallah (Feitoto) ni mnyama
105. Neo Maema naye ni mnyama . ( CONFIRMED)
106. Keep an eye on Enock Inonga Baka
107. Singida Black Stars inamfukuzia Khalid Aucho (CONFIRMED)
108. Kampuni ya Betway inaweza kutangazwa kama mdhamini mpya wa Simba SC (CONFIRMED)
109. Mohammed Bajaber ni mnyama (CONFIRMED)
110. Steve Ebuela amesaini Azam FC( CONFIRMED)
111.Singida Black Stars inaangalia kuwasajili Enock Inonga Baka. Yanga pia
112.Aubin Kramo anatakiwa na Singida Black Stars
113. Yanga pia wanamfukuzia Enock Inonga
114. Yanga inaangalia uwezekano wa kumbakisha Kwasi Yao baada ya kushindwa kumnasa Keita kutoka TP Mazembe aliyeelekea Esperance De Tunis
115. Pape Dodou Dialo amesaini Azam FC( CONFIRMED)
116. Antony Mlingo anatakiwa na Simba SC (CONFIRMED)
117. Thank you Clement Mzize
118.Keep an eye on Paschal Msindo
119. Barakat Hmid anatakiwa na Azam
FC (CONFIRMED)
120. Horso Mwaku anaelekea Singida Black Stars (CONFIRMED)
121. Sadio Kanoute anatakiwa na Azam FC (CONFIRMED)
122.Yanga inawinda saini ya beki Nadhan Idumba Fasika
123. Ernest Malonga anatakiwa na Simba SC
124.Frank Assink anatakiwa na Young Africans kwa mkopo ( CONFIRMED)
125. Issa Fofana anatakiwa na Azam FC(CONFIRMED)
126.Ahmed Pipino anatakiwa na Simba SC
127. Naby Camara anatakiwa na Simba SC (CONFIRMED)
128.Naby Camara ni mnyama(CONFIRMED)
129. Edmund John ni mwananchi ( CONFIRMED)
130. Ben Zitoun ni Mali ya Azam (CONFIRMED)
131. Franck Tiesse na Mamadou Samake kuachwa na Azam FC(CONFIRMED)
132.Salumu Mwalimu ni mnyama (CONFIRMED)
132. Keep an eye on Ally Salim Katoro( CONFIRMED)
133.Valentine Nouma anaelekea Singida Black Stars
134.Andrew Phiri ametua Singida Black Stars ( CONFIRMED)
135.Lionel Ateba amejiunga na Al Shorta ya Iraq ( CONFIRMED)
136. Jayrutty ananuia kusajili mchezaji mkubwa Simba kabla ya usajili kufungwa
137. Vedastus Masinde amesajiliwa na Simba SC. Atapelekwa kwa mkopo ili kupata uzoefu zaidi ( CONFIRMED)
138.Allan Okello anatakiwa na Simba SC
 
Mcchezaji huwa anatangazwa baada ya kusajiliwa . Usishangae hata aliyesaini mwaka huu akatangazwa mwakani

Upo sahihi, ila mimi nimeulizia tetesi namba 136 umesemea kuhusu Jayrutty kusajili mchezaji mkubwa kabla dirisha kufungwa. Sasa huyo anayetangazwa mwakani je anakuwa kasajiliwa dirisha hili au dirisha lijalo?
Kama hakuna mchezaji mkubwa aliyesajiliwa na Jayrutty dirisha hili sio dhambi kusema bado hajasajiliwa ila sio kuzunguka zunguka na habari za mwakani mwakati tunazungumzia dirisha hili.
IMG_20250909_152605.jpg
 
Chief Hichilema tupe habari achana na wanywa supu hao..sahv wameambiwa hamna kuingia uwanjani mpk uwe na Jezi.. inaonekana Jezi zimedoda sana madukani huko[emoji41]
View attachment 3468055
Wale walioaminishwa na Micky na Hichilema kuhusu Feisali Salumu, endeleeni kusubiria embe chini ya mpera. Feisali kaongeza mkataba hadi 2027, mlipigishwa propaganda na wazee wa propaganda. Poleni
 
Upo sahihi, ila mimi nimeulizia tetesi namba 136 umesemea kuhusu Jayrutty kusajili mchezaji mkubwa kabla dirisha kufungwa. Sasa huyo anayetangazwa mwakani je anakuwa kasajiliwa dirisha hili au dirisha lijalo?
Kama hakuna mchezaji mkubwa aliyesajiliwa na Jayrutty dirisha hili sio dhambi kusema bado hajasajiliwa ila sio kuzunguka zunguka na habari za mwakani mwakati tunazungumzia dirisha hili.View attachment 3468266
Hao Jayrutty wanaonekana ni wahuni tu. Kila msimu watasajili mchezaji mkubwa! Yuko wapi sasa huyo mchezaji mkubwa! Na kama ni Fei Toto, tulipinga humu tangu mwanzo, na bado tulipuuzwa.
 
X factor ni Feisal Salum (Fei toto). Nilipost hapa wenye akili nyingi wakanitukana. Siku niliposema Fei kasaini Simba ndo kweli alikuwa amesaini. Atakuja msimu ujao kama mchezaji huru
Ulijijengea sifa na uaminifu humu mkuu ila sijui ni kipi kimekukumbuka hadi kutoka kwenye kuwa mtu unayetoa taarifa sahihi na kuwa mueneza propaganda wa timu. Ishu ya Conte na Feisali imekuvua nguo
 
Hao Jayrutty wanaonekana ni wahuni tu. Kila msimu watasajili mchezaji mkubwa! Yuko wapi sasa huyo mchezaji mkubwa! Na kama ni Fei Toto, tulipinga humu tangu mwanzo, na bado tulipuuzwa.
Nakumbuka ila mwishoni nimewaza pengine Hichilema ni kiongozi ndani ya Simba hivyo kuna namna anafanya ili kutuliza mumkari ya mashabiki wa Simba kwa kuwaongopea
 
Ulijijengea sifa na uaminifu humu mkuu ila sijui ni kipi kimekukumbuka hadi kutoka kwenye kuwa mtu unayetoa taarifa sahihi na kuwa mueneza propaganda wa timu. Ishu ya Conte na Feisali imekuvua nguo
Huyo tunamdharau mno Kwa upumbavu wake na umbumbumbu
Sign on fee 800m
Mshahara 50m take
Ubalozi Azam pesa 200m
Release clause 5.7 kuvunja mkataba
Kumbuka FEI akiuzwa ndani ya nchi Yanga anavuta 1b akiuzwa nje ya nchi Yanga anavuta 25%
Nikiwambia FEI hatakuja kucheza umbumbumbuni nieleweni jamani
 
Wale walioaminishwa na Micky na Hichilema kuhusu Feisali Salumu, endeleeni kusubiria embe chini ya mpera. Feisali kaongeza mkataba hadi 2027, mlipigishwa propaganda na wazee wa propaganda. Poleni
Sio kuaminishwa si inatokea na mtu anabadili maamuzi sheikh mbona mnavalia njuga sana ni wazi mnampenda sana fei toto wazee wa mwiko kwa nyuma 🤣🤣
 
Hao Jayrutty wanaonekana ni wahuni tu. Kila msimu watasajili mchezaji mkubwa! Yuko wapi sasa huyo mchezaji mkubwa! Na kama ni Fei Toto, tulipinga humu tangu mwanzo, na bado tulipuuzwa.
Msipende kuropoka mambo msiyoyajua makubaliano ya jayrutty na simba ni kusajili mchezaji mkubwa kila dirisha dogo baada ya kupata faida za mauzo ya jezi, hayo mambo ya usajili hata kina fabrizio huwa wanakosea ndio maana zinaitwa tetesi isitoshe huyo fei huo mkataba mpya kasaini juzi tu, halafu utopolo mnajisahaulisha ninyi wenyewe kila msimu chama alikuwa anasajiliwa yanga ila bado alikuwa anacheza simba na msimu ulioisha mkadanganywa mpanzu anaenda yanga mkajaa ila leo mnashangaa ya simba na feisal
 
Msipende kuropoka mambo msiyoyajua makubaliano ya jayrutty na simba ni kusajili mchezaji mkubwa kila dirisha dogo baada ya kupata faida za mauzo ya jezi, hayo mambo ya usajili hata kina fabrizio huwa wanakosea ndio maana zinaitwa tetesi isitoshe huyo fei huo mkataba mpya kasaini juzi tu, halafu utopolo mnajisahaulisha ninyi wenyewe kila msimu chama alikuwa anasajiliwa yanga ila alikuwa anacheza simba na msimu ulioisha mkadanganywa mpanzu anaenda yanga mkajaa ila leo mnashangaa ya simba na feisal
Haya kunywa maji sasa ili upunguze munkari.
 
Back
Top Bottom