hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 6,772
- 15,651
Huyu alituhakikishia asilimia mia kwamba feisali ameshasajiliwa simba na ni mchezaji wa simba.Mkuu mbona unatuchanganya tena? Mchezaji kusaini Simba huku akiwa bado ana mkataba na timu nyingine sio kosa kisheria?. Sasa inawezekana vipi Feisali asaini mkataba kwasasa na Simba kisha asubirie hadi msimu ujao ndio acheze, huo mkataba kusaini kwasasa kuna faida gani?
Aligombana sana na ngara23 kuhusu fei kucheza ukoloni msimu huu.
Ngara23 alimuhakikishia kwamba hata iweje fei hawezi kucheza simba msimu huu jamaa akabisha.
Now anakubali lakini anakwambia kashasaini simba ila atacheza mwakani.