Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Ulijijengea sifa na uaminifu humu mkuu ila sijui ni kipi kimekukumbuka hadi kutoka kwenye kuwa mtu unayetoa taarifa sahihi na kuwa mueneza propaganda wa timu. Ishu ya Conte na Feisali imekuvua nguo
Binafsi bado naheshimu mchango wake mkuu. Ameleta taarifa humu bila malipo, Lets say 80% ya taarifa zipo sahihi 20% sio sahihi kwanini apoteze kuaminiwa? By the way ni uzi wa tetesi. Source yake ya taarifa haikuwa sahihi kwenye suala la Fei ila imekuwa sahihi kwenye masuala mengine. Anastahili heshima.
 
Huyo tunamdharau mno Kwa upumbavu wake na umbumbumbu
Sign on fee 800m
Mshahara 50m take
Ubalozi Azam pesa 200m
Release clause 5.7 kuvunja mkataba
Kumbuka FEI akiuzwa ndani ya nchi Yanga anavuta 1b akiuzwa nje ya nchi Yanga anavuta 25%
Nikiwambia FEI hatakuja kucheza umbumbumbuni nieleweni jamani
Hahaha, ngara23 ni TETESI.
As long as hawacharge viingilio kusoma tetesi zake msiwe serious sana boss.
 
Msipende kuropoka mambo msiyoyajua makubaliano ya jayrutty na simba ni kusajili mchezaji mkubwa kila dirisha dogo baada ya kupata faida za mauzo ya jezi, hayo mambo ya usajili hata kina fabrizio huwa wanakosea ndio maana zinaitwa tetesi isitoshe huyo fei huo mkataba mpya kasaini juzi tu, halafu utopolo mnajisahaulisha ninyi wenyewe kila msimu chama alikuwa anasajiliwa yanga ila bado alikuwa anacheza simba na msimu ulioisha mkadanganywa mpanzu anaenda yanga mkajaa ila leo mnashangaa ya simba na feisal
Kuna namna mwiko unawaathiri Hawa jamaa😂
 
Binafsi bado naheshimu mchango wake mkuu. Ameleta taarifa humu bila malipo, Lets say 80% ya taarifa zipo sahihi 20% sio sahihi kwanini apoteze kuaminiwa? By the way ni uzi wa tetesi. Source yake ya taarifa haikuwa sahihi kwenye suala la Fei ila imekuwa sahihi kwenye masuala mengine. Anastahili heshima.
Yeah
 
Fadlu Davids anatakiwa na Raja Casablanca, Kaizer Chiefs na Al Ahly. Uwezekano wa kuondoka ni mkubwa sana
 
Back
Top Bottom