Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Yanga na Singida BS wamefanya swap deal
Bala Conte na Mo Doumbia wanaenda Singida
Mohamed Damaro na Marouf Tchatkei wakijiunga na Yanga
 
Dese Mukwala baye bye

Bado Budo Mutale
20260119_111054.jpg
 
ndiyo mkuu sjui ni mwamba toka nchi gn yule au nae ni mzimbabwe inatakiwa uzi wake uwe na namba 9 mgongon haraka sn.
Mjomba yule ni Muangola. Na amekuja kama chaguo la mwalimu, ambaye amewahi kuifundisha timu ya Taifa ya Angola.

Kwa namna alivyocheza jana na Prince Dube pale mbele, hakika kuna hatari kubwa inakuja kwa timu pinzani siku za usoni! Yaani timu iwe na Damaro, Duke Abuya, Allan Okello, Pacome, Depu, Nzengeli, na Dube!! Ni hatari na nusu.
 
mmmh mura hilo limjamaa linaonekana kbs halicheki na wowote full ma confidence wale jamaa zng wny semaji bana pua DEPU ataondoka na mpira wa hat trick..kuna duke abuya jamaa haimbwi sn ila yule mwamba nachompendea ana nguvu, pumzi, chenga, kukaba, mashuti, kufunga huwa ninashangaa sn eti mudathir anamuweka benchi duke abuya. shaaabashiii ndani ntiti nje ntiti..
 
Back
Top Bottom