Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

FB_IMG_1756903964304.jpg
 
Hili kipa lipewe nafasi, kwa sababu ya uwezo wake. Tofauti na hapo Simba itakuwa chimbo la kuharibu wachezaji wa ndani
Ya kweli ni muhimu apewe nafasi hasa mechi za afcon ili kumpa uzoefu zaidi.
Asipo cheza mechi nyingi basi ni kumualibu tuu.
 
Ndio unawajua hao tu au tukutajie wengine waliosajiliwa msimu huu maana mmekariri safari hii kijili na malone hawapo, by the way hao hao wabovu ndio waliotufikisha fainali cafcc ilihali ninyi mlihitaji hadi muwe na kikosi bora ndio mfike hapo, ninyi na hao kina mzize na zouzoua huko cafcl mliishia wapi maana simba hata iwe mbovu vipi haijawahi ishia makundi huko
Acha ujinga, ud songo alikutoa robo final? Jwaneng Galaxy alikutoa nusu fainal? Kawadanganye mbumbumbu wenzio.
 
Simba wanashindwa nini kumsajili Allan Okello? Tatizo pesa au?
 
Back
Top Bottom