Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Angetoa picha ya Simba ... Pia angechukua few touches za jezi za pre seasonMbona ni nzuri tu, au sababu zilivuja? Leo nimeona mtu kavaa ile nyekundu, alipendeza tu. Ila ya Pre ilikuwa nzuri zaidi. Nadhani isingekuwa nzuri vile hii ingeonekana nzuri mno.