Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Golikipa wa kimataifa na beki wa kimataifa wa Tanzania Yacoub Suleiman na Wilson Nangu watatambulishwa na Simba SC muda wowote kuanzia kesho
FB_IMG_1756412957841.jpg
 
Kivipi? Utakuwa shabiki wa uto wewe sio bure
Sina umri mkubwa Mkuu kama wewe pengine ila Nimeanza kushabikia Simba na kuchezea Brand kwenye Chandimu ...la 4A ......Kipindi navizia kuangalia picha za kina Ulimboka mwakingwe,Nurdin Bakari nk kwenye ukurasa wa nyuma wa muuza magazeti na kusikiliza Bolu redioni kwa kina Juma Nkamia.
 
Hili ni garasa
Mbumbumbu wanasajili flops
Mnapenda sana kujifariji kama ni flop mbona wydad wamegoma kumuachia mazima, au haujui kwamba ametolewa kwa mkopo with no option to buy, huyo ndio amesababisha viongozi wenu wambembeleze mzize kubaki
 
Angekuwa mzuri angeingia Moja Moja kikosi Wydad kama Azizi ki
 
Nani kakuambia kwamba aziz ki yuko kikosi cha kwanza cha wydad, hivi unajua hata huko fifa club world cup selemani alicheza dakika ngapi na aziz ki alicheza ngapi, na unajuaje kama aziz ki hana timu iliyomtaka ndio maana hawajamtoa
 
Kweli wewe ni mbumbumbu, yaani Wydad kila siku wana post ufundi na magoli ya Azizi ki
Screenshot_20250830-145436.png
Screenshot_20250830-145518.png
Screenshot_20250830-145535.png
 
Mnapenda sana kujifariji kama ni flop mbona wydad wamegoma kumuachia mazima, au haujui kwamba ametolewa kwa mkopo with no option to buy, huyo ndio amesababisha viongozi wenu wambembeleze mzize kubaki
Walivyojua Mzinze anabaki, Viongozi wa Simba ndiyo wakaenda kumuomba kwa mkopo with no option to buy, kisa hawana fedha
 
Pole labda wewe hizo taarifa za selemani mwalimu ndio umezipata juzi baada ya simba kumtambulisha, watu taarifa walikuwa nazo toka yanga wahangaika na ofa za mchezaji wao wa bilioni wa mchongo, na walikuwa wanafikiria kumuuza es tunis ila walivyoona simba wanaendelea kuboresha kikosi wakaghairi
 
Simba walivyojua mzinze hauzwi, wakamuomba huyo kwa mkopo
 
Sasa kuanza mara moja moja ndio kila siku, hata selemani mwalimu alikuwa anaanza mara moja moja, kama angekuwa kaflop mbona wydad hawataki kumuachia mazima
Hivi wewe uko timamu yaani unasema Azizi ki kaanza Wydad mechi 1?
We unadhani Kuna timu itamtoa mchezaji wa first 11 Kwa mkopo
Seleman hakuwa na nafasi wydad
 
Back
Top Bottom