Kwamba kina Boyeli na Abuya siyo wa mkopo bora Simba wanaochukua wachezaji kwa mkopo kutoka timu kubwa kama Mamelodi na Wydad, na hata sijaona kuna ajabu gani kuchukua wachezaji kwa mkopo, labda kama hujui mpira na hufuatilii hata timu za Ulaya zinavyofanya🤣😄😅Walificha madesa wakamsajili flops Rushaina na Maema Kwa mkopo
mataptapu, takataka, uharo. Hamnamo mtu humoView attachment 3448166
Tetesi namba 124
Kama hamna mtu wewe inakuuma nini? Si ndio utulie na waliopo kwenye timu yako ya Simba ambayo ndio yenye watu safari hii.mataptapu, takataka, uharo. Hamnamo mtu humo
sasa we inakuuma nini wakati ni kweliKama hamna mtu wewe inakuuma nini? Si ndio utulie na waliopo kwenye timu yako ya Simba ambayo ndio yenye watu safari hii.
Simba wamemuuza bei gani?Lionel Ateba amejiunga na Al Shorta ya Iraq
$300,000 na 30% ya mauzo ya baadaeSimba wamemuuza bei gani?
Mutale haondoki?$300,000 na 30% ya mauzo ya baadae
Hadi hapo haondoki maana wamebaki 12Mutale haondoki?
ni nini hicho?
huu uchafu wa kuitwa jezi kweli?View attachment 3451171
Jezi ya nyumbani ya wananchi
Una uhakika ndo zenyewe?View attachment 3451956
Zetu mbovu zaidi.