Waliomtaka ni simba acheni kujipa ujiko hapa huo mwezi january hatukusikia tetesi zozote za yanga kumtaka okello bali simba haikuwa tu tetesi, bali waliitafuta kabisa timu yake vipers na kutaka kumsajili ila timu ikagoma kumuachia dirisha dogo ikasema labda wajaribu dirisha kubwa, yanga tangu lini mkawa na scout wa kuspot wachezaji wa maana hao kina pacome wenyewe mmekiri kwamba ilikuwa waende simba ila mkawawahi juu kwa juu, na msimu huu ndio mmetuthibitishia kabisa kuwa huyo injinia wenu huwa anasikilizia tetesi za simba wanataka wachezaji gani, kisha anatake advantage ya delay ya kamati ya usajili ya simba anawawahi ila safari hii tumeona alivyoingizwa chaka kwa conte na kouma maana simba walificha madesa