Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Ni rasmi, kama nilivyoripoti awali. Aucho atacheza Singida Black Stars
 
Kama Azam usajili wao wamemwachia Ibenge apendekeze wachezaji awatakao, msimu ujao utakuwa mgumu sana na hata michuano ya kimataifa Azam wanaweza kufanya kitu kikubwa.
Mmh hawa Azam huwa hawaaminiki kwakweli, labda ngoja tuone kama wanaweza kufurukuta kwa hawa watoto wa kariakoo
 
Yanga tungepata beki wa kati 1
Nawaza ikitokea Job au baka Mmoja awe na injury itakuwaje?
Sina hakika kama Asnki alisajili mkataba wa mkopo kama tetesi zilivokuwa
 
Back
Top Bottom