ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Msaidie huyo mrembo umtie hata mimbaHakika
Msaidie huyo mrembo umtie hata mimbaHakika
Mi napenda sana ningekua kama huyu jamaa yaani mtu anakujibu vibaya au amekutukana ww unamwelekeza kiustaarabu bila kumtukukana... Sometimes huwa najaribu kuwavumilia watu wanaonikera lakini uzalendo unanishinda najikuta nimewarudia na matusi.Yan umewaza kama mimi tu mkuu.
huyu jamaa duh hata umtukane yeye atakuja kukujibu tofauti na ulivyotegemea. Anaonekana ana hekima flan hv
As long as Jonathan Sowah yuko msimbazi mi sina haja hata na Fei maana sisi tulikua na striker muuaji wa makipa...Nilishakuambieni kitambo sana "endeleeni kupiga nyeto ila Feisal hachezi Simba msimu huu ".
Mukaja na makasiriko yenu.......... ooh elezea kisomi, mala huna pesa na dharau za kila rangi, sasa kiko wapi?
Simba munampenda Feisal, lakini kijana hana ndoto ya kuvaa rangi za kilingeni, hivyo endeleeni kupiga nyeto tu.
Simba kwenye umaliziaji ilikuwa tatizo.As long as Jonathan Sowah yuko msimbazi mi sina haja hata na Fei maana sisi tulikua na striker muuaji wa makipa...
Tunataka Striker muuaji design ya Sowah na tumempata... hatuna haja ya playmaker wala attacking midfielder, simba tunahitaji Striker gaidi na mwenye roho mbaya... Sehemu ambayo bado nina mashaka ni central back... Yule Hamza hamna kitu game ngumu anajivunja na kuzimia kabisa..Simba kwenye umaliziaji ilikuwa tatizo.
Waende kitayoseFrank Tiesse na Mamadou Samake kuachwa na Azam FC
HahahaYule Hamza hamna kitu game ngumu anajivunja na kuzimia kabisa..
Sijawahi kumuona akiingia uvunguni au kutandika reli.Sehemu ambayo bado nina mashaka ni central back... Yule Hamza hamna kitu game ngumu anajivunja na kuzimia kabisa..
Ni kweli halafu yule jamaa chunguza game yoyote ambayo ni ngumu lazima ajivunje na atoke... Game nyepesi hajivunjagi we fuatiliia utaniambia..Sijawahi kumuona akiingia uvunguni au kutandika reli.
Usajili ulifungwa janaSelemani Mwalimu to Simba!
Mkuu naskia Kuna mambo huko unyamani...vipi kumbe Bado hatujamaliza
BadoMkuu naskia Kuna mambo huko unyamani...vipi kumbe Bado hatujamaliza
Hamna kituSeleman mwalimu n Jonathan sowah..simba kwenye safi ya ushambuliaji wameupiga mwingi sana
Ila uto hahaHamna kitu
Kipigo cha 6 mfululizo kipo njianiIla uto haha
Sina neno, tutakutana tu ila mjiandae piaKipigo cha 6 mfululizo kipo njiani
Sina neno, tutakutana tu ila mjiandae piaaa
Maandalizi yapoSina neno, tutakutana tu ila mjiandae pia