Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Fanya urekebishe hilo neno hapo kwa Mutale.Ahoua au Ateba wanauzwa...Mutale anaolewa mkopo
Fanya urekebishe hilo neno hapo kwa Mutale.Ahoua au Ateba wanauzwa...Mutale anaolewa mkopo
Tayari Mzee wa 100m Gala.. AhsanteFanya urekebishe hilo neno hapo kwa Mutale.
Hyo ni ligi baada ya Qatar super league na sio daraja la 2 ni kama ligi daraja la kwanza. Ila Sasa ulivyoitanabaisha kama ametoka ligi ya wachimba chumvi huku frog fc mkimsajili mchezaji kutoka ligi ya zanzibar na kuona ni kawaida😂Sio yule wa Berkane, uyu ni alianzia CS Sfacxien u21 msimu wa 19/20 na msimu unaofuata wa 20/21 akaingizwa CS Sfaxien senior team.
Msimu wa 23/24 akaenda Qatar ligi daraja la pili timu ya Al-Waab SC
Kwa kifupi Simba wamemtoa huko kwenye ligi daraja la 2.
Next time mnyooshe maelezo yenu....GSM foundation! Na isitajwe Yanga ambayo mashabiki/wanachama wake wanatoka kwenye makundi mbalimbali katika jamii.
Next time mnyooshe maelezo yenu....GSM foundation! Na isitajwe Yanga ambayo mashabiki/wanachama wake wanatoka kwenye makundi mbalimbali katika jamii.
Siyo Edmund JohnKuna uwezekano wa mchezaji mpya kutambulishwa na Yanga ndani ya siku hizi mbili hasa kwenye mchezo dhidi ya Ryon Sports ya Rwanda
Oya mzee mwenzangu frank asink vip hukoKuna uwezekano wa mchezaji mpya kutambulishwa na Yanga ndani ya siku hizi mbili hasa kwenye mchezo dhidi ya Ryon Sports ya Rwanda
Soon mwananchiOya mzee mwenzangu frank asink vip huko
Katokea timu ganiSoon mwananchi
Yan umewaza kama mimi tu mkuu.
Amesajiliwa Yanga kwa mkopo wa miezi 6 akitokea Singida Black stars kuchukua nafasi ya Yao Kwasi ambaye bado ana miezi isiyopungua minne ili arejee kwenye hali yake ya kawaida. Na tayari yupo Kigali.Oya mzee mwenzangu frank asink vip huko
Mbumbumbu mnahahaKuna tetesi Lucas Mwashambwa ndo Hersi, najiuliza kwanini mashabiki wa hii timu hawana akili kumbe Lucas Mwashambwa ndo kiongozi wao.