vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 3,128
- 5,862
Yanga vs nani sasa?Kuna uwezekano ngao ya jamii kuchezwa mechi moja tu
Vs runner up wa FA ama vs runner up wa premier league?
Yanga vs nani sasa?Kuna uwezekano ngao ya jamii kuchezwa mechi moja tu
SimbaYanga vs nani sasa?
Vs runner up wa FA ama vs runner up wa premier league?
Nilishakuambieni kitambo sana "endeleeni kupiga nyeto ila Feisal hachezi Simba msimu huu ".Hichilema unaonewa wivu na Husda hata na Uzi wako huu...aise umaskin mbaya sana 😂
Ngoja leo nikuige kidogo nionje ladha ya kutukanwa na kufatwa na mapanga kisa kusema Feisal anaenda Simba
Issa Fofana to Azam ...soon deal to be completed.
Mimi injinia wa mchongo na klabu yangu ya yanga tunapenya humo humo tunachangia milioni 100 kwa CCM....Nilishakuambieni kitambo sana "endeleeni kupiga nyeto ila Feisal hachezi Simba msimu huu ".
Mukaja na makasiriko yenu.......... ooh elezea kisomi, mala huna pesa na dharau za kila rangi, sasa kiko wapi?
Simba munampenda Feisal, lakini kijana hana ndoto ya kuvaa rangi za kilingeni, hivyo endeleeni kupiga nyeto tu.
MLAFI WA MADARAKA ..MSHENZI MMOJA TU HUYO.
Mwambieni mbio hizi zitamtumbukiza shimoni.
Umepiga kwenye kidonda
Mbumbumbu wataiamini hii.
Kagombea majimbo mawili kwa pamoja?
🤣Mashabiki wachawi wa frogs FC wnakuonea wivu sana na Uzi wako huu...
Inshallah mmoja wao tutampa kazi ya kutuletea taarifa za usajili wa dirisha dogoMashabiki wachawi wa frogs FC wnakuonea wivu sana na Uzi wako huu...
Hongera umejipatia chawa katika Uzi huuInshallah mmoja wao tutampa kazi ya kutuletea taarifa za usajili wa dirisha dogo
Edmund John ni mwananchiVipi wananchi suprise ya mchezaji wenu mpya niliyesema atatangazwa mmeiona?
😂😂😂😂😂Mlinda Mlango wa Al Hilal, Issa Fofana atatangazwa muda wowote kuwa mali ya Azam kama nilivyoripoti. Kifo hakikimbiwi Aishi 🤣