Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Hichilema unaonewa wivu na Husda hata na Uzi wako huu...aise umaskin mbaya sana 😂

Ngoja leo nikuige kidogo nionje ladha ya kutukanwa na kufatwa na mapanga kisa kusema Feisal anaenda Simba

Issa Fofana to Azam ...soon deal to be completed.
 
Babu na baragumu lake kaamka leo 😂 saa 10 adhuhuri...

Hichilema unaonewa wivu na Husda hata na Uzi wako huu...aise umaskin mbaya sana 😂

Ngoja leo nikuige kidogo nionje ladha ya kutukanwa na kufatwa na mapanga kisa kusema Feisal anaenda Simba

Issa Fofana to Azam ...soon deal to be completed.
Hii kazi ni ngumu asikwambie mtu.
 
Orodha ya wachezaji wa kimataifa waliopo ndani ya kikosi cha Simba kwa sasa

1. M. Camara 🇬🇳
2. N. Camara 🇬🇳
3. Mutale 🇿🇲
4. Kante 🇸🇳
5. Maema 🇿🇦
6. De Reuck 🇿🇦
7. Mukwala 🇺🇬
8. Sowah 🇬🇭
9. Ahoua 🇨🇮
10. Karabou 🇨🇮
11. Mpanzu 🇩🇿
12. Bajaber 🇰🇪
13. Ateba 🇨🇲
 
Orodha ya wachezaji wa kimataifa waliopo ndani ya kikosi cha Simba kwa sasa

1. M. Camara 🇬🇳
2. N. Camara 🇬🇳
3. Mutale 🇿🇲
4. Kante 🇸🇳
5. Maema 🇿🇦
6. De Reuck 🇿🇦
7. Mukwala 🇺🇬
8. Sowah 🇬🇭
9. Ahoua 🇨🇮
10. Karabou 🇨🇮
11. Mpanzu 🇩🇿
12. Bajaber 🇰🇪
13. Ateba 🇨🇲
Hivi wanatakiwa kuwa wangapi?
 
Feisali Salum alishasaini miaka miwili Simba toka siku naandika hapa. Kilichopo hapa ni either Azam wamuachie au avunje mkataba au washindwane aondoke bure msimu ujao kwenda Simba . Atapewa jezi namba 6
Sawa sawa Fabrizo tutamuona Feisali na jezi namba 6 ya Simba, kama ulivyosema Conte ni mnyama 100%
 
Wapoteze mbumbumbu
Kama ulivosema kuwa FEI na Simba kila kitu kimekwisha
Kama umebisha hadi kwa naby camara basi nimeamini wewe kinachokufanya ubishie taarifa za usajili wa simba ni chuki zako tu binafsi na si kwamba eti una taarifa sahihi, inawezekana hata kwa fei ulibisha sababu ya chuki zako binafsi tu na si kwamba ulikuwa na taarifa sahihi kuwa hawezi kuenda simba, ila kwa vile kwa fei imetokea kama ulivyosema basi utaonekana kama ulikuwa na taarifa sahihi na utakariri kuwa kila usajili anaosema jamaa kuhusu simba ni uongo ila kwa huyo unaenda kuumbuka
 
Orodha ya wachezaji wa kimataifa waliopo ndani ya kikosi cha Simba kwa sasa

1. M. Camara 🇬🇳
2. N. Camara 🇬🇳
3. Mutale 🇿🇲
4. Kante 🇸🇳
5. Maema 🇿🇦
6. De Reuck 🇿🇦
7. Mukwala 🇺🇬
8. Sowah 🇬🇭
9. Ahoua 🇨🇮
10. Karabou 🇨🇮
11. Mpanzu 🇩🇿
12. Bajaber 🇰🇪
13. Ateba 🇨🇲
Ahoua au Ateba wanauzwa...Mutale anatolewa mkopo
 
Kama umebisha hadi kwa naby camara basi nimeamini wewe kinachokufanya ubishie taarifa za usajili wa simba ni chuki zako tu binafsi na si kwamba eti una taarifa sahihi, inawezekana hata kwa fei ulibisha sababu ya chuki zako binafsi tu na si kwamba ulikuwa na taarifa sahihi kuwa hawezi kuenda simba, ila kwa vile kwa fei imetokea kama ulivyosema basi utaonekana kama ulikuwa na taarifa sahihi na utakariri kuwa kila usajili anaosema jamaa kuhusu simba ni uongo ila kwa huyo unaenda kuumbuka
Huyo mgonjwa wa akili ni chuki tu..ndio mana nawatukana tu MAMMBWA hao.
 
Na wewe unakubaliana na Huyo muuza madafu kwamba wanaokukosoa ni sababu ya umasikini?
We **** ...muuza madafu baba yako. Wewe ungekua tajiri na una hela unakaa meza Moja na akina gsm, Seth, rugemalira , usingekua hapa na kupata muda unapiga soga kumuonea wivu mtu anayeleta tetesi tu za usajili...wewe ni kapuku tu...acheni chuki kwa Hichilema...huo ni ufukara pro max na uchawi....🖕
 
1. Vilabu vya Young Africans, Kaizer Chiefs na Simba SC vinapigana vikumbo kumpata Feisal Salum ( Fei Toto)
2. Mourice Abraham ni mnyama(CONFIRMED)
3. Thank you Augustine Okejepha (CONFIRMED)
4. Thank you Kouass Yao. Anaweza kubaki kama watamkosa mbadala sahihi
5. Golikipa wa JKT Tanzania , Yakubu Suleiman anavivutia vilabu vya Yanga na Simba
6. Aish Manula anaelekea Azam FC, Yanga pia wanamnyatia (CONFIRMED- AZAM FC)
7. Thank you Sure boy
8. Thank you Jonas Mkude( CONFIRMED)
9. Abubakar Nazir ni mwananchi(CONFIRMED)
10. Frolent Ibenge ni kocha mpya wa Azam FC( CONFIRMED)
11. Kiungo raia wa Ivory Coast, Mohamed Doumbia anakaribia kujiunga na Young Africans SC
12. Thank you Fabrice Ngoma (CONFIRMED)
13. Thank you Omary Omary(CONFIRMED)
14. Deborah Fernandez Mavambo anaweza kuachwa na Simba SC kama itampata mbadala wake ( CONFIRMED)
15. Farid Mussa anaweza kuondoka Yanga
16. Thank you Gibril Sylla ( CONFIRMED)
17. Jonathan Ikangalombo anaweza kuachwa na Yanga
18. Ayoub Lakred ameondoka rasmi Simba SC (CONFIRMED)
19. Beki wa Al Hilal ya Sudan, Kadim Diaw anatakiwa na Simba SC
20. Valentine Nouma anaweza kupewa thank you kama Simba itampata mbadala wake (CONFIRMED)
21. Celestine Ecua anavipiganisha vilabu vya Simba na Yanga
22. Kennedy Musonda anaweza kuondoka Yanga. (CONFIRMED)
23. Lameck Lawi anaelekea Azam FC kama mambo hayatabadilika (CONFIRMED)
24. Higino Kapitango anatakiwa na Simba
25. Thank you Kocha wa Yanga, Miloud Hamd ( CONFIRMED)
26. Kiungo Mkabaji kutoka Mlandege, Abdulnassir Mohamed amesaini Yanga(CONFIRMED)
27. Ahmed Bakari Pipino wa KMC anawindwa Vikali na Azam Fc na Yanga
28. Himid Mao Mkami anatarajiwa kurejea Azam FC ( CONFIRMED)
29. Muhsin Malima anaelekea Azam(CONFIRMED)
30. Miguel Gamondi anaelekea Singida Black Stars ( CONFIRMED)
31. Malanga Horso Mwaku, anatakiwa na Yanga
32. Stephane Aziz Ki, hajawafurahisha mabosi wa Wydad, mkataba wa mkopo wa miezi miwili unaweza usiongezwe
33. Khaled Ben Yahia anaweza kuwa kocha mpya wa Yanga kama mambo hayatabadilika(COLLAPSED)
34. Celestine Ecua ni mwananchi
35. Julien Chavenier naye anaweza kuwa kocha wa Young Africans(COLLAPSED)
36. Wilson Nangu wa JKT, anaweza kujiunga na Simba SC
37. Thank you Mzamiru Yassin
38. Thank you Aziz Andabwile
39. Thank you Hussein Kazi(CONFIRMED)
40. Thank you Kennedy Musonda(CONFIRMED)
41. Manishimwe Djabel amesaini Azam FC
42. Simba SC wanaangalia uwezekano wa kuingilia dili la Celestin Ecua kutua Yanga
43. Hussein Abel anaelekea Singida Black Stars kama mambo hayatabadilika
44. Souleymane Coulibally anaweza kusaini Simba(COLLAPSED)
45. Offen Chikola anaweza kujiunga na Young Africans ( CONFIRMED)
46. Keep an eye on Fondoh Malone ( CONFIRMED)
47. Mkataba wa Chama umeisha, hajasaini mwingine. Azam wanamtolea macho
48. Thank you Fondoh Malone. Anauzwa Algeria ( CONFIRMED)
49. Edwin Balua anaelekea Cyprus kwa mkopo (CONFIRMED)
50. Mofosse Karidioula anatakiwa na Simba
51. Israel Mwenda huenda huenda akasaini mkataba wa kudumu Yanga( CONFIRMED)
52. Thank you Kelvin Kijiri(CONFIRMED)
53. Balla Moussa Conte ni mnyama(COLLAPSED)
54. Celestine Ecua amekubali kusaini Yanga
55. Romain Folz anaweza kuwa kocha wa Yanga kama target nyingine zikigoma( CONFIRMED)
56. Charvey Onoya anatakiwa na Simba SC
57. Basiala Agey anatakiwa na Azam na Simba SC
58. Debora Fernandez Mavambo anaweza kuondoka Simba SC (CONFIRMED)
59. Japhite Kitambala anaweza kujiunga na Azam FC baada ya CHAN(CONFIRMED)
60. Keep an eye on Steven Mukwala
61. Keep an eye on Kibu Denis
62. Thank you Vicorien Adebayor
63. Thank you Arthur Badda(CONFIRMED)
64. Keep an eye on Mohamed Hussein Zimbwe (CONFIRMED)
65. Romain Folz ndiye kocha mpya wa Yanga ( CONFIRMED)
66. Charles Semfuko anaweza kujiunga na Simba Sc(CONFIRMED)
67. Uwezekano wa kipa wa Yanga, Djigui Diara kuondoka ni mkubwa
68. Keep an eye on Khalid Aucho( CONFIRMED)
69. Uwezekano wa Mohamed Hussein Zimbwe kubaki Simba ni mdogo sana. (CONFIRMED)
70. Keep an eye on Kibu Denis
71. Kelvin Mondeko anakaribia kujiunga Young Africans
72. Che Malone Fondo kauzwa USM Algers ya Algeria(CONFIRMED)
73. Denis Nya anatakiwa na Simba SC
74. Thank Debora Fernandez Mavambo(CONFIRMED)
75. Bosco Nchindo anatakiwa na Simba SC
76. Nouh El Abdi anatakiwa na Simba SC
77. Thank you Mohamed Hussein Zimbwe. (CONFIRMED)
78. Lassine Kouma anatakiwa na Simba , Yanga (CoNFIRMED , YOUNG AFRICANS)
79. Private Djessan anatakiwa na Simba SC
80. Edmund John anatakiwa na Yanga.
81. Cheikh Omar Faye anatakiwa na Azam Fc
82. Lamine Jarjou anaelekea Singida Black Stars
83. Andy Boyel anatakiwa na Young Africans (CONFIRMED)
84.Dramane Kamagate anatakiwa na Simba SC
85. Abdallah Kulandana anatakiwa na Simba SC
86. Alassane Kante ni mnyama(CONFIRMED)
87 Keep an eye on Leonel Ateba
88. Mohamed Bajaber anatakiwa na Yanga, Simba pia (CONFIRMED, SIMBA SC)
89. Lasine Kouma anatakiwa pia na Yanga. Anakaribia kwenda huko( CONFIRMED)
90. Kiungo Rodriguez Kossi anatakiwa na Simba
91. Thank you Denis Nkane
92. Keep an eye on Jonathan Sowah
93. Jonathan Sowah anatakiwa na Simba SC
94. Jonathan Sowah ni mnyama
95. Leonel Ateba anaelekea kuuzwa
96. Valentino Mashaka anaelekea Mbeya city kwa mkopo kama mambo hayatabadilika
97. Chama anatakiwa na Singida Black Stars
98. Yahya Zayd anatakiwa na Simba SC
99. Rushine De Reuck ni mnyama( CONFIRMED)
100. Neo Maema wa Mamelod Sundowns anaelekea Simba SC
101. Idrisa Diomande anatakiwa na Singida Black Stars
102. Keep an eye on Feisal Salum
103. Miraji Abdallah Zombo anatakiwa na Simba SC
104. Feisal Salumu Abdallah (Feitoto) ni mnyama
105. Neo Maema naye ni mnyama .
106. Keep an eye on Enock Inonga Baka
107. Singida Black Stars inamfukuzia Khalid Aucho
108. Kampuni ya Betway inaweza kutangazwa kama mdhamini mpya wa Simba SC (CONFIRMED)
109. Mohammed Bajaber ni mnyama (CONFIRMED)
110. Steve Ebuela amesaini Azam FC
111.Singida Black Stars inaangalia kuwasajili Enock Inonga Baka. Yanga pia
112.Aubin Kramo anatakiwa na Singida Black Stars
113. Yanga pia wanamfukuzia Enock Inonga
114. Yanga inaangalia uwezekano wa kumbakisha Kwasi Yao baada ya kushindwa kumnasa Keita kutoka TP Mazembe aliyeelekea Esperance De Tunis
115. Pape Dodou Dialo amesaini Azam FC( CONFIRMED)
116. Antony Mlingo anatakiwa na Simba SC (CONFIRMED)
117. Thank you Clement Mzize
118.Keep an eye on Paschal Msindo
119. Barakat Hmid anatakiwa na Azam
FC
120. Horso Mwaku anaelekea Singida Black Stars
121. Sadio Kanoute anatakiwa na Azam FC (CONFIRMED)
122.Yanga inawinda saini ya beki Nadhan Idumba Fasika
123. Ernest Malonga anatakiwa na Simba SC
124.Frank Assink anatakiwa na Young Africans kwa mkopo
125. Issa Fofana anatakiwa na Azam FC
126.Ahmed Pipino anatakiwa na Simba SC
127. Naby Camara anatakiwa na Simba SC
128.Naby Camara ni mnyama

View: https://www.facebook.com/reel/756633946756889
 
IMG-20250814-WA0007.jpg
 
Back
Top Bottom