Nakumbuka mzee mwenzangu.Na hata baadhi yetu tuliotoa maoni ya kupinga huo usajili kwa kutumia hoja za wazi kabisa! Nakumbuka tuliishia tu kushambuliwa kwa maneno ya kila aina.
Nakumbuka mzee mwenzangu.Na hata baadhi yetu tuliotoa maoni ya kupinga huo usajili kwa kutumia hoja za wazi kabisa! Nakumbuka tuliishia tu kushambuliwa kwa maneno ya kila aina.
Ha ha ha mrembo huyu ni mjuaji sana.🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyu ni Jadda magazeti.
Sehemu ya kujibu mstari mmoja yeye ataandika mistari elfu mbili kidogo.
Kibaya zaidi hana aya kwenye uandishi wake.
Magazeti yake anabandanisha sentensi mpaka kusoma unapata uvivu.
Huyo jamaa mwingine Uwezo wake simjui ila msindo naye naona hamna kituViongozi wa simba wako serious kweli na usajili?
Mnashindwa kumleta Msindo mnatuletea Malonga?
Hili li timu lita struggle sana...
Backline ya timu wote hakuna kitu bado mnapata nguvu ya kusajili kwa kuokota?
Maanina wallah.
Aombe radhi kiungwana Kwa uongo wake.Aliwaaminisha watu Feisali na Conte wamesajiliwa Simba. Na alisema ni uhakika kabisa
Jiandikishe kama Chawa wa Hichilema Sasa. Vinginevyo huna uwezo wa kutuzuia kuongea Kenge wa kike wewe. Tunamsema Hichilema na yeye anajua tofauti ya tetesi na taarifa iliyothibitishwa kama alivyowahi kusema kuhusu Feisal na Simba.Halafu pia embu acheni umbulula nyie mambulula...kwani ni lazima yeye kuleta habar ambazo lazima ziwe za ukweli? Kwaio kumbe hua mnatamani alete habar ambazo mwisho wa siku mnatamani zisiwe za kweli ili mje mpopoe macho? Uchawi bongo hautakauishe..ndio mana matajiri wanawatukana live kule mlimani city saivi kwenye kukichangia Chama tawala
Huyo ndo mbumbumbuJiandikishe kama Chawa wa Hichilema Sasa. Vinginevyo huna uwezo wa kutuzuia kuongea Kenge wa kike wewe. Tunamsema Hichilema na yeye anajua tofauti ya tetesi na taarifa iliyothibitishwa kama alivyowahi kusema kuhusu Feisal na Simba.
Sasa kama unasema hilo ni gazeti nikikutajia vigezo si ndio utasema ni waraka kabisa, nimekuuliza kwahiyo wewe unaona porto ni timu kubwa kuliko arsenal, maana kiuhalisia hili ndilo lilitakiwa kuwa swali na siyo lile ulilouliza weweMbona gazeti refu wakati umeambiwa utaje vigezo vyako
Si kama ninyi semaji lenu alivyosema ile nafasi ya simba kwenye caf ranking ilikuwa inawaumiza sana, kwahiyo kwenye ile mechi na mc alger mtaenda na fyekeo kubwa ili kufyeka hiko kichaka cha simba, matokeo yake siku ya mechi fyekeo likageuka butu mkaishia kulamba nyasi tu halafu mnasema eti rank siyo muhimuHata nyinyi bila kuwafunga yanga hamfeel raha yoyote hata mkizifunga timu zote za ligi kuu.
Msiklize semaji hapa chini
View attachment 3439446
Wewe ukishauliza swali kwanini umpangie mtu namna ya kujibu kwanini unataka mtu ajibu vile unavyotaka wewe, na unajuaje kama swali hili linahitaji mstari mmoja na lile linahitaji aya halafu ni wazi hujui maana ya aya rudi shule, kama nawe ndio wale mnaosema porto ni timu kubwa kuliko arsenal kwa kigezo cha ucl achana na mpira tafuta vitu vingine vya kushabikia🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyu ni Jadda magazeti.
Sehemu ya kujibu mstari mmoja yeye ataandika mistari elfu mbili kidogo.
Kibaya zaidi hana aya kwenye uandishi wake.
Magazeti yake anabandanisha sentensi mpaka kusoma unapata uvivu.
Kama wewe ulivyo mwanachama mtiifu wa eymaelHuyo ndo mwanachama mwaminifu wa Rage
Ni mbumbumbu wa ukweli
Wewe ukishauliza swali kwanini umpangie mtu namna ya kujibu kwanini unataka mtu ajibu vile unavyotaka wewe, na unajuaje kama swali hili linahitaji mstari mmoja na lile linahitaji aya halafu ni wazi hujui maana ya aya rudi shule, kama nawe ndio wale mnaosema porto ni timu kubwa kuliko arsenal kwa kigezo cha ucl achana na mpira tafuta vitu vingine vya kushabikia
Jadda usibandanishe aya zako zinatia uvivu sana kusoma.Kama wewe ulivyo mwanachama mtiifu wa eymael
Sasa mbona umeleta kitu ambacho wewe mwenyewe umeshindwa kukielewa na kukitafsiri huoni kama jibu lipo hapo palipoandikwa "kila aya inapaswa kuwa na wazo kuu moja" au kwa vile wewe umezoea kuandika mistari kumi tofauti inayoelezea wazo moja, mimi aya zangu huwa zina wazo moja yani ukiona nimeandika aya ndefu bila kuachanisha ujue inaongelea kitu kimoja na hata ile aya yangu uliyoisemea nayo ilikuwa na wazo moja ambalo lilikuwa linahusu kulinganisha porto na arsenal, kwahiyo nilikuwa najua ninachomaanisha nilipokuambia hujui maana ya aya urudi shule ila badala yake ukaenda kuleta maelezo ambayo yanasapoti nilichokisema mimi wewe kushindwa kusoma siyo tatizo langu kikubwa nimezingatia maana halisi ya aya na siyo uvivu wako wa kusoma
Wewe hujawahi kunikuta kwenye jukwaa la mahusiano na urafiki kule watu huwa tunashusha magazeti zaidi ya haya na tunasoma na kujibizana vizuri tu na hatulalamiki, wewe kama una uelewa wa haraka utasoma na utaelewa hivi vingine ni visingizio tu yani mimi niache kuzingatia maana ya aya nianze kufikiria eti kuna mtu ataona uvivu kusoma, uvivu wako wa kusoma ni shida zako wewe siyo zangu mimi huwa nina mambo mengi ya kuandika nikisema niwe nayaandika katika mstari mmoja mmoja kama unavyofanya wewe hizo zitakuwa siyo aya tena bali ni kitu kingine kabisa kisicho na jinaJadda usibandanishe aya zako zinatia uvivu sana kusoma.
Unaweza ukawa unaandika vitu muhimu sana na vyenye hoja lakini uandishi wako unachosha na kufanya watu wasikuchukulie serious.
Naamini hiki kitu ↩ kipo kwenye kifaa chako unachotumia ku type kitumie ipasavyo.
Kwenye simu au kompyuta yako hii alama ↩ haipo?Sasa mbona umeleta kitu ambacho wewe mwenyewe umeshindwa kukielewa na kukitafsiri huoni kama jibu lipo hapo palipoandikwa "kila aya inapaswa kuwa na wazo kuu moja" au kwa vile wewe umezoea kuandika mistari kumi tofauti inayoelezea wazo moja, mimi aya zangu huwa zina wazo moja yani ukiona nimeandika aya ndefu bila kuachanisha ujue inaongelea kitu kimoja na hata ile aya yangu uliyoisemea nayo ilikuwa na wazo moja ambalo lilikuwa linahusu kulinganisha porto na arsenal, kwahiyo nilikuwa najua ninachomaanisha nilipokuambia hujui maana ya aya urudi shule ila badala yake ukaenda kuleta maelezo ambayo yanasapoti nilichokisema mimi wewe kushindwa kusoma siyo tatizo langu kikubwa nimezingatia maana halisi ya aya na siyo uvivu wako wa kusoma
Na alama za uandishi pia ni tatizo kubwa sana kwako.Wewe hujawahi kunikuta kwenye jukwaa la mahusiano na urafiki kule watu huwa tunashusha magazeti zaidi ya haya na tunasoma na kujibizana vizuri tu na hatulalamiki, wewe kama una uelewa wa haraka utasoma na utaelewa hivi vingine ni visingizio tu yani mimi niache kuzingatia maana ya aya nianze kufikiria eti kuna mtu ataona uvivu kusoma, uvivu wako wa kusoma ni shida zako wewe siyo zangu mimi huwa nina mambo mengi ya kuandika nikisema niwe nayaandika katika mstari mmoja mmoja kama unavyofanya wewe hizo zitakuwa siyo aya tena bali ni kitu kingine kabisa kisicho na jina
Hivi umeelewa nilichokuambiaKwenye simu au kompyuta yako hii alama ↩ haipo?
Wewe kama huwezi kusoma posts zangu acha hayo mambo nendeni mkawafundishe mademu zenu wanaoandikaga xx ck hz vp mimi huna cha kunifundisha kwenye uandishi, na ni wazi huwa husomi posts zangu hadi mwisho huwa unakurupuka tu maana ungesoma ungeona alama humo ndani, narudia mimi kazi yangu ni kuwasilisha hoja zangu tu mambo ya uvivu wa mtu wa kusoma mimi hayanihusu kabisaNa alama za uandishi pia ni tatizo kubwa sana kwako.
Hiki ulichoandika hapa kinathibitisha.
Hakuna kituo katika sentensi zako.
Hivi umeelewa nilichokuambia
Wewe kama huwezi kusoma posts zangu acha hayo mambo nendeni mkawafundishe mademu zenu wanaoandikaga xx ck hz vp, na ni wazi huwa husomi posts zangu hadi mwisho huwa unakurupuka tu maana ungesoma ungeona alama humo ndani, narudia mimi kazi yangu ni kuwasilisha hoja zangu tu mambo ya uvivu wa mtu wa kusoma mimi hayanihusu kabisa
Jadda kama jadda kolo bin mbumbumbu.Hivi umeelewa nilichokuambia
Wewe kama huwezi kusoma posts zangu acha hayo mambo nendeni mkawafundishe mademu zenu wanaoandikaga xx ck hz vp mimi huna cha kunifundisha kwenye uandishi, na ni wazi huwa husomi posts zangu hadi mwisho huwa unakurupuka tu maana ungesoma ungeona alama humo ndani, narudia mimi kazi yangu ni kuwasilisha hoja zangu tu mambo ya uvivu wa mtu wa kusoma mimi hayanihusu kabisa
Wapoteze mbumbumbuNaby Camara ni mnyama