Sasa unafananisha ac milan yenye ucl saba na pyramids yenye cafcl moja si unaona sasa namna ambavyo hujui mpira, mimi nimetolea mfano wa porto timu ambayo ina ucl moja kama pyramids tu wenye cafcl moja, tafuta timu zote zenye ucl moja moja hata hiyo psg iliyochukua juzi uone kama kuna ambayo ni timu kubwa na bora kuzidi arsenal, ndio maana nikasema ubora na ukubwa wa timu is all about consistency na siyo ubora wa msimu mmoja au miwili tu je kama ni fluke tutajuaje, subiri hao pyramids washinde cafcl kuanzia tano na kuendelea huku simba wakiwa hawana hata moja ndio uje utolee mfano wa hao ac milan na wengine siyo unakurupuka tu utaonekana umeanza kufuatilia mpira juzi