Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 25,050
- 45,202
Kolo maemaNani ndugu yangu?
Kolo maemaNani ndugu yangu?
Kwa ujinga uliojibu haukumuona... Mimi Yanga... Nimemuona...kwa ujinga uliojibu ... Miaka ya 2000's ..wakati anacheza ulikuwa unatika NIKE makamasi....Labda kama alicheza miaka ya 80+
Mapato makubwa halafu hayajakusaidia.Hoja si thamani ya club. Hoja ni thamani ya kombe la ligi vs nafasi za juu za mashindano ya club bingwa Africa.
Yanga ilipofika robo fainali na kuchukua kombe NBC mashindano yapi yalimlipa vizuri kimapato?
Malimbukeni nyie ambao timu yenu ikishinda mnaenda kumaliza pombe baa, maana hamjazoea kushinda mnaona ajabu.Hawa jamaa sitaacha kuwwatukana maisha..ni malimbukeni ya Dunia ya malimbukeni wnaayoishi sjui sayari Gani
#freemzinzeMalimbukeni nyie ambao timu yenu ikishinda mnaenda kumaliza pombe baa, maana hamjazoea kushinda mnaona ajabu.
Young man, relax! Ok?#freemzinze
#justiceformzinze
FIFA au PES?Nje ya mada nipo nacheza master League nimechukua ueropa, Europe super cup na UEFA champions league lakni kwenye club ranking nipo wa 12.
Simba sio giant ni vile anapoint nyingi na kashiriki sana
FIfaFIFA au PES?
Nimekuwa nikisema humu, kubishana na baadhi ya wanaUto ni kujivunjia heshima. Yaani unapata namba Bafana halagu mjinga mmoja anasema hana kiwango
Ya mwaka gani mkuu, mimi nina 15 nimeichoka. Sasa hivi nacheza Call of Duty Black Ops 2, na Modern warfare 3.FIfa
25Ya mwaka gani mkuu, mimi nina 15 nimeichoka. Sasa hivi nacheza Call of Duty Black Ops 2, na Modern warfare 3.
Kati ya Arsenal na Porto ipi timu kubwa, kumbuka Porto ana ucl ila Arsenal hana, maana naona hiyo ndio hoja yakoKwamba Simba ni bora kuliko Pyramids? Aisee kweli wewe ni shabiki wa Simba asilia kabisa.
Sasa simba kuita hizo medali mabati kunahusiana nini na yanga kujivunia hizo medali badala ya kombe husikaWakati mnaiita hizo medal ni mabati, cafcc mliita ni ligi ya wadada, ila sasa hivi na nyie mnafurahi hizo medali mlizosema za mabati
Asante.
Tufanye tu Arsenal vs Ac Milan kabisa ili mfano wako uwe hai zaidi. Haya unataka kusema Arsenal ni timu kubwa kuliko Ac Milan si ndio?Kati ya Arsenal na Porto ipi timu kubwa, kumbuka Porto ana ucl ila Arsenal hana, maana naona hiyo ndio hoja yako