Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

OK, basi tuziite timu bora zinazotambulika Africa Simba ni namba 5, halafu giant wa Tanzania aliyejikusanyia makombe lukuki hayupo hata top 10. Hii imeekaa sawa, si ndio?
Club bora tumeziona kwenye FIFA club world cup hayo mengine ni maoni yako
 
Mimi ni nani niwabishie wenye maamuzi kuwa nani ni bora Africa kwa mwaka 2025? Kwani tatizo lipo wapi boss? Ni Simba kuwa hapo top 5 ndo kunasababisha Rank kisiwe kigezo cha ubora wa Club Africa?
Ukisema ni nani bora Africa kwa mwaka 2025 jibu unapata ni Pyramids FC sababu gani?
Sababu ni
1) bingwa wa CAFCL
2) ndiye aliyekusanyia points nyingi zaidi kuliko timu yeyote ile.
 
Ukisema ni nani bora Africa kwa mwaka 2025 jibu unapata ni Pyramids FC sababu gani?
Sababu ni
1) bingwa wa CAFCL
2) ndiye aliyekusanyia points nyingi zaidi kuliko timu yeyote ile.
Na kwa miaka mi5, bingwa ni nani? Tusaidie top 5.
 
Simba ubingwa kachukua lini? Sijui kama kuna mashabiki wengine wanaokaa kufurahia ranks zaidi ya huku kwetu Tanzania. Timu inaweza kuwa kwenye ranks nzuri na akasaulika lakini taji halisahauliki. Mfano Hororya, Tp Mazembe, Wydad na Belouzidad walikuwa bandika bandua huwakosi kwenye top ranking je leo hii ziko wapi? lakini pamoja na kotokuwepo kwenye ranking ila ukiingia kwenye profile za Tp Mazembe na Wydad utaona ni miongoni mwa ma giant wa Africa kwavile wana mataji ya klabu bingwa. Kwenye profile ya timu hukuti historia za ma rank.

Ranks zipo kama muuongozo wa upangaji wa ratiba na fixture za CAF na hazina kazi zingine zozote na ndio maana kadri msimu unavyokuwa mpya, basi matokeo ya msimu mmoja wanayatoa.
 
Simba ubingwa kachukua lini? Sijui kama kuna mashabiki wengine wanaokaa kufurahia ranks zaidi ya huku kwetu Tanzania.
Kuna wale mashabiki wa Yanga ambao, as long as mashabiki wa Simba wana furaha wao wanaikosa furaha, hata kama wamebeba ubingwa wa dunia. Furaha yao imewekezwa kwenye huzuni ya Simba.

Ulikuwa unapendekeza nini kiwape mashabiki wa Simba furaha msimu uliopita nje ya Ranks? Kuwa top 5 ya vilabu bora barani Africa.

Isije ikawa upo kwenye kundi la mashabiki wanaowekeza furaha yao kwenye huzuni za mashabiki wa Simba.
 
Nje ya mada nipo nacheza master League nimechukua ueropa, Europe super cup na UEFA champions league lakni kwenye club ranking nipo wa 12.

Simba sio giant ni vile anapoint nyingi na kashiriki sana
 
FB_IMG_1754917412679.jpg

Tetesi namba 121
 
Back
Top Bottom