Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Hata wakipandisha si mchezaji wao? na tena anafanya vizuri kwenye michuano ya CHAN dau linapanda. Sasa anyanyasike vipi, dili la dola laki saba na USD 1m lipi zuri lipi lenye maslahi mazuri? Mpira ni biashara na si huruma.
Kwa upande mwingine timu inayo haki ya kumuuza ama kutomuuza. Tatizo letu watanzania tunapenda kurahisisha mambo.
 
Hata wakipandisha si mchezaji wao? na tena anafanya vizuri kwenye michuano ya CHAN dau linapanda. Sasa anyanyasike vipi, dili la dola laki saba na USD 1m lipi zuri lipi lenye maslahi mazuri? Mpira ni biashara na si huruma.
Kwaio mnatumia hio nafasi sababu ni mchezaji wenu kumnyanyasa...mbona mayele hamkumuuza kwa staili hii?? Eti lipi zuri, mnamyima mtoto wa watu asioondoke..Kuna huruma Gani hapo zaidi mmamzibia mtoto wa watu rizki yake..mnataka mjifaidishe nyie matumbo yenu makubwa makubwa , na ndio mana Sasa mchawi mkuu rais wenu anataka milioni 2 Dola...
 
Nani amenyanyaswa? Kwani halipwi mshahara? Sasa Mayele na Mzize wana umri sawa? Umri ni moja ya factor kudetermine bei na urefu wa contract ya mchezaji. Kazibiwa na nani? Kwani Yanga wamekataa kumuuza? Yanga hata wakitaka USD 10m,sawa sababu ni mchezaji wao.
 
Mshahara mbuzi..!
Lazima tu hua nyie mambulula mnatafuta Chaka Cha kuhalalisha uchawi wenu, ndio mana sakata la fei, rais wa nchi aliingilia kati mana aliona kijana wa watu ananyanyasika...mnataka tena na hili aliingilie ..acheni wivu na roho mbaya... Ndiio mnakataa ..imekuja milioni 1, mnataka Sasa milioni 2 sababu kafunga goli chan...

#justiceformzinze
 
Si mpira wenu huu mnaochanganya na siasa,ushawahi kuona kiongozi wa siasa kwenye ligi kubwa duniani anaingilia maamuzi ya chama soka? ila kama ukiujua mpira hivi vitu vya kawada. Isak wa Newcastle anaforce kwenda Liverpool, ila Newcastle hawana haraka bali wanataka dau lao sio analotaka mchezaji na wakala wake? Ina maana Isak ananyanyasika, ila si shangai wabongo wengi wenu hata exposure ndogo ya kufutuatilia sajili za nje hamna.

Mshahara Mbuzi kwani hapo kwenye timu yenu ya Kolo FC ,nitajie wachezaji wa bongo local wanaolipwa 15m kwa mwezi? Hata huyo Shabalala mpaka anaondoka hakuwahi kufikia 15m,maana mpaka anaondoka kwa mujibu wa meneja wake bado anadai Signing fees ya mkataba wake uliopita, sasa ikiwa mchezaji mkongwe kama Shabalala anapata tabu vipi wengine.

Halafu hata kama hasinge funga goli CHAN, club ndiye yenye nafasi ya kuamua mchezaji auzwe au hasiuzwe sababu wanamkataba nae? Si bora Yanga flow nzima tunaijua kwamba walikuja Al Masry, wakaja wengine kutoka Qatar na sasa Esperance,sasa nyinyi Kolo FC meneja wa Kibu msimu uliopita, baada ya Kibu kutorokea Sweden kwa majaribio akadai,mmekataa offer nyingi na timu zingine zimemtaka kwa majaribio.Hata timu iliyo mtaka ya Sweden, walimtumia ujumbe Instagram na kumuonyesha barua walizo mwandikia kuja kwenu mkawa mnazikalia,hamumwambii mchezaji. Msimu uliopita Azam walimtaka Manula mkakataa na mkawa tayari, Manula akae benchi kisa kwamba mnadai aliuza mechi zile goli tano.
 
Makolo mnalazimisha sana mzize auzwe.

Kama hutumii akili unaweza kufikiri kwamba makolo mnampenda sana mzize kumbe mnajua uwezo wa mzize na jinsi anavyowafanya mkutanapo na Yanga.

Mnafosi aondoke hili mpate nafuu.

Kwa taarifa yenu hata mzize akiondoka tabu hiko pale pale.
 
UNAIJUA Tanzania unaisikia wewe...watanzania asilimia kubwa hatupendj kuona mtu ananyanyasika,kwani ya fei ilikuaje? Hadi rais akaingilia kati...unaelewa, rais wa nchi..timu ya kipumbavu kabisa, badala afanye shuhul za kichama eti anaamua kesi ya yanga na mchezaji,wakili nae mbovu, makesi huko fifa kibao, hio barua nshaiona, nyie mna tamaa na wivu mbaya sana ...mim mtu wa mpira, mzinze hio hela hata angeeondoka kwa Dola laki 8, hio 1m$ angeipata tu huko anakokwenda, mbona mayele aliondoka kwa Dola laki 5 na saivi unaijua thamani yake? Unajua analipwa mshahara shilingi ngapi ? Ambayo Tanzania nzima hakuna mchezaji analipwa hio hela, nimeambiwa kua eti mnafikiria kupandisha iwe Dola milioni 2 sababu ya magoli ya CHAN...yetu macho...muuzeni mtoto wa watu akatafute maisha kwa ajili yake na familia , mpira sio starehe ama eti mapenzi na klabu .. mpira kwa Sasa ni kazi ..MPIRA PESA...
Kama wewe ni mtu wa Mpira Simba na Walter Bwalya ilikuaje? au Simba na Manzoki nini kilitokea
 
Si mpira wenu huu mnaochanganya na siasa,ushawahi kuona kiongozi wa siasa kwenye ligi kubwa duniani anaingilia maamuzi ya chama soka? ila kama ukiujua mpira hivi vitu vya kawada. Isak wa Newcastle anaforce kwenda Liverpool, ila Newcastle hawana haraka bali wanataka dau lao sio analotaka mchezaji na wakala wake? Ina maana Isak ananyanyasika, ila si shangai wabongo wengi wenu hata exposure ndogo ya kufutuatilia sajili za nje hamna.

Mshahara Mbuzi kwani hapo kwenye timu yenu ya Kolo FC ,nitajie wachezaji wa bongo local wanaolipwa 15m kwa mwezi? Hata huyo Shabalala mpaka anaondoka hakuwahi kufikia 15m,maana mpaka anaondoka kwa mujibu wa meneja wake bado anadai Signing fees ya mkataba wake uliopita, sasa ikiwa mchezaji mkongwe kama Shabalala anapata tabu vipi wengine.

Halafu hata kama hasinge funga goli CHAN, club ndiye yenye nafasi ya kuamua mchezaji auzwe au hasiuzwe sababu wanamkataba nae? Si bora Yanga flow nzima tunaijua kwamba walikuja Al Masry, wakaja wengine kutoka Qatar na sasa Esperance,sasa nyinyi Kolo FC meneja wa Kibu msimu uliopita, baada ya Kibu kutorokea Sweden kwa majaribio akadai,mmekataa offer nyingi na timu zingine zimemtaka kwa majaribio.Hata timu iliyo mtaka ya Sweden, walimtumia ujumbe Instagram na kumuonyesha barua walizo mwandikia kuja kwenu mkawa mnazikalia,hamumwambii mchezaji. Msimu uliopita Azam walimtaka Manula mkakataa na mkawa tayari, Manula akae benchi kisa kwamba mnadai aliuza mechi zile goli tano.
#justiceformzinze
 
Makolo mnalazimisha sana mzize auzwe.

Kama hutumii akili unaweza kufikiri kwamba makolo mnampenda sana mzize kumbe mnajua uwezo wa mzize na jinsi anavyowafanya mkutanapo na Yanga.

Mnafosi aondoke hili mpate nafuu.

Kwa taarifa yenu hata mzize akiondoka tabu hiko pale pale.
Una hoja usikilizwe, maana n kweli mzinze n mwiba sana pale ukoloni, nikifikilia ile mechi ya 5:1 jamaa alisumbua sana mabeki kule nyuma
 
Rankings hazijawahi kua kigezo cha u giant unless kama unataka tukeshe hapa
OK, basi tuziite timu bora zinazotambulika Africa Simba ni namba 5, halafu giant wa Tanzania aliyejikusanyia makombe lukuki hayupo hata top 10. Hii imeekaa sawa, si ndio?
 
Ukitumia rank kama kigezo cha ubora moja kwa moja itamuondoa Pyramids ambaye ndio bingwa wa CAFCL msimu ulioisha. Je wewe unaona Pyramids sio timu bora?
 
Una hoja usikilizwe, maana n kweli mzinze n mwiba sana pale ukoloni, nikifikilia ile mechi ya 5:1 jamaa alisumbua sana mabeki kule nyuma
Yeah sababu ni hiyo tu na sio kwamba wanampenda sana mzize.

Hata kwa Feitoto ilikuwa hivyo hivyo.

Wakashupalia sana Fei aondoke cha ajabu sasa hivi wanamtaka wao sasa ngoja tuwaone watamlipa kiasi gani.

Pale Yanga kuna utamaduni mzuri sana umetengenezwa wa kutomuabudu mchezaji pia kuwa na back up nzuri ya mchezaji mzuri anayeondoka.

Ndio maana kaondoka Fei Aziz ki akaibuka kuficha pengo na wala hakuna anayemuwazia Fei.

Kaondoka Aziz no problem at all Pacome yupo anafanya vitu na hakuna anayemuwaza.

Khalid Aucho anaondoka naamini pengo lake litazibwa na sajili yetu mpya ya Balla Conte.

Hii ndio yanga makolo hata wakifosi wachezaji wetu kuondoka kipigo kiko pale pale.
 
Ukitumia rank kama kigezo cha ubora moja kwa moja itamuondoa Pyramids ambaye ndio bingwa wa CAFCL msimu ulioisha. Je wewe unaona Pyramids sio timu bora?
Mimi ni nani niwabishie wenye maamuzi kuwa nani ni bora Africa kwa mwaka 2025? Kwani tatizo lipo wapi boss? Ni Simba kuwa hapo top 5 ndo kunasababisha Rank kisiwe kigezo cha ubora wa Club Africa?
 
Back
Top Bottom