- Thread starter
- #2,161
Kashasajiliwa Kante. Putin ni mzuri lakini hana kasi, passing yake pia ni changamoto plus injuriesKama vip Simba wangemrudisha huyu jamaa, bado anahitajika pale katikati
Kashasajiliwa Kante. Putin ni mzuri lakini hana kasi, passing yake pia ni changamoto plus injuriesKama vip Simba wangemrudisha huyu jamaa, bado anahitajika pale katikati
Hii pilipili sio kali ni vile inawasha na kuunguza sana.Simba sio giant ni vile anapoint nyingi na kashiriki sana
Ibenge anapenda watu wagumu,sababu mfumo wake ni kama wa Morinho.View attachment 3438427
Tetesi namba 121
Ni simba kwa sababu amefika mahali ambapo yanga hajafika napo ni kwenye top five ya vilabu bora barani afrika kama hujui umuhimu wa hiyo nafasi nenda kawaulize viongozi wenu wanajua umuhimu wake, yanga kujisifia kuchukua makombe mengi ya ligi kuliko simba mna tofauti gani na simba kujisifia kucheza robo fainali klabu bingwa mara nyingi kuliko yanga ikiwa hoja ni wote kucheza hatua hiyo bila kujali ni mara ngapi, tajeni mafanikio ambayo yanga anayo simba hana halafu mnapenda kujisahaulisha si juzi tu mlikuwa mnawaringishia simba medali za cafcc na kuwaita wao kina mwakarobo halafu leo hii mnasema mafanikio ni makombe tu sasa ninyi wakati mnajivunia medali hamkujua kwamba mafanikio ni makombe tuKwa muono wako giant of Tanzania football ni team gani??na toa sababu 3 tu
Kubishana na hao watu ni kujivunjia heshimaNi simba kwa sababu amefika mahali ambapo yanga hajafika napo ni kwenye top five ya vilabu bora barani afrika kama hujui umuhimu wa hiyo nafasi nenda kawaulize viongozi wenu wanajua umuhimu wake, yanga kujisifia kuchukua makombe mengi ya ligi kuliko simba mna tofauti gani na simba kujisifia kucheza robo fainali klabu bingwa mara nyingi kuliko yanga ikiwa hoja ni wote kucheza hatua hiyo bila kujali ni mara ngapi, tajeni mafanikio ambayo yanga anayo simba hana halafu mnapenda kujisahaulisha si juzi tu mlikuwa mnawaringishia simba medali za cafcc na kuwaita wao kina mwakarobo halafu leo hii mnasema mafanikio ni makombe tu sasa ninyi wakati mnajivunia medali hamkujua kwamba mafanikio ni makombe tu
Sasa kwani yanga walikuwa wapi wakati simba wanashiriki sana na kupata points nyingiNje ya mada nipo nacheza master League nimechukua ueropa, Europe super cup na UEFA champions league lakni kwenye club ranking nipo wa 12.
Simba sio giant ni vile anapoint nyingi na kashiriki sana
Ni timu bora kwa sababu wako nafasi ya sita na ubora wa timu ni pamoja na consistency siyo ubora wa msimu mmoja tu, by the way hivi unajua kuna vilabu vingi ulaya vimewahi kubeba ucl kabla ya arsenal ila ukivilinganisha arsenal bado ni wakubwa, halafu hapa tunalinganisha ubora kati ya simba na yanga ambao wote hilo kombe la cafcl hawana sasa yanga ana mafanikio gani ambayo simba hanaUkitumia rank kama kigezo cha ubora moja kwa moja itamuondoa Pyramids ambaye ndio bingwa wa CAFCL msimu ulioisha. Je wewe unaona Pyramids sio timu bora?
Kwamba Simba ni bora kuliko Pyramids? Aisee kweli wewe ni shabiki wa Simba asilia kabisa.Ni timu bora kwa sababu wako nafasi ya sita na ubora wa timu ni pamoja na consistency siyo ubora wa msimu mmoja tu, by the way hivi unajua kuna vilabu vingi ulaya vimewahi kubeba ucl kabla ya arsenal ila ukivilinganisha arsenal bado ni wakubwa, halafu hapa tunalinganisha ubora kati ya simba na yanga ambao wote hilo kombe la cafcl hawana sasa yanga ana mafanikio gani ambayo simba hana
Yah na umri unamtupa mkono kwasasa. Anyway nmekuelewa mkuuKashasajiliwa Kante. Putin ni mzuri lakini hana kasi, passing yake pia ni changamoto plus injuries
Kwavile furaha mtu apangiwi ni halali kufurahia chochote kile as long as kinakupa faraja ya moyo hata kama ni cha kijinga.Kuna wale mashabiki wa Yanga ambao, as long as mashabiki wa Simba wana furaha wao wanaikosa furaha, hata kama wamebeba ubingwa wa dunia. Furaha yao imewekezwa kwenye huzuni ya Simba.
Ulikuwa unapendekeza nini kiwape mashabiki wa Simba furaha msimu uliopita nje ya Ranks? Kuwa top 5 ya vilabu bora barani Africa.
Isije ikawa upo kwenye kundi la mashabiki wanaowekeza furaha yao kwenye huzuni za mashabiki wa Simba.
Hakuna ujinga katika furaha unless chanzo cha hiyo furaha ni tatizo kwa wengine.Kwavile furaha mtu apangiwi ni halali kufurahia chochote kile as long as kinakupa faraja ya moyo hata kama ni cha kijinga.
Wakati mnaiita hizo medal ni mabati, cafcc mliita ni ligi ya wadada, ila sasa hivi na nyie mnafurahi hizo medali mlizosema za mabatiNi simba kwa sababu amefika mahali ambapo yanga hajafika napo ni kwenye top five ya vilabu bora barani afrika kama hujui umuhimu wa hiyo nafasi nenda kawaulize viongozi wenu wanajua umuhimu wake, yanga kujisifia kuchukua makombe mengi ya ligi kuliko simba mna tofauti gani na simba kujisifia kucheza robo fainali klabu bingwa mara nyingi kuliko yanga ikiwa hoja ni wote kucheza hatua hiyo bila kujali ni mara ngapi, tajeni mafanikio ambayo yanga anayo simba hana halafu mnapenda kujisahaulisha si juzi tu mlikuwa mnawaringishia simba medali za cafcc na kuwaita wao kina mwakarobo halafu leo hii mnasema mafanikio ni makombe tu sasa ninyi wakati mnajivunia medali hamkujua kwamba mafanikio ni makombe tu
Mtu yupo nafasi ya 5 africa ila akisikia shabiki anafurahia Yanga kuwa na makombe mengi ya ligi, anaanza kuteseka kutafuta namna kuonyesha ubingwa wa ligi sio sababu inayotosha kufurahiaMtu ana makombe yote ya ndani, ila akisikia shabiki anafurahia simba kuwa club namba 5 kwa ubora Africa msimu wake mzima unaharibika anaanza kuteseka kutafuta namna kuonyesha kuwa kuwa nafasi ya 5 ndani ya Africa si sababu inayotosha kufurahi. Hahaha.
Ungesoma tulipoanzia, alisema ubingwa wa Yamga hauna umuhimu wa thamanj. Ila nashukuru wewe umetambua huo uthamani. Basi na mimi natambua uthamani wa Simba.Hoja ni kwamba simba anamzidi yanga thamani hajasema yanga hana thamani ila wanazidiana, haiwezekani wote kuwa sawa kithamani lazima kuna mmoja anamzidi mwenzie, na hapo ndipo yanapokuja masuala ya kulinganisha cafcl na nbcpl huwezi kupewa thamani ambayo huna thamani hupewi tu bali unaitafuta
Hahaha, Mashabiki wa Yanga wana hii kasumba sababu wanafukia mashimo, wenyewe wanaita kufyeka kichaka. Sasa wakifyeka hichi wakiinua kichwa wanakutana na chaka jingine. Ndo maana pamoja na fanikio la kufyeka chaka furaha inakosekana. Unamaliza kufyeka chaka la ugiant, unakutana na chaka la kufika hatua ya robo fainali mara nyingi, wakati unapambana nalo unakaribia kulifyeka unakutana na chaka la rank. Unafanyaje zaidi ya kupata huzuni?Mtu yupo nafasi ya 5 africa ila akisikia shabiki anafurahia Yanga kuwa na makombe mengi ya ligi, anaanza kuteseka kutafuta namna kuonyesha ubingwa wa ligi sio sababu inayotosha kufurahia
Hahaha.
Anauzwa kwa $1M, bei ikifikiwa atauzwa.UNAIJUA Tanzania unaisikia wewe...watanzania asilimia kubwa hatupendj kuona mtu ananyanyasika,kwani ya fei ilikuaje? Hadi rais akaingilia kati...unaelewa, rais wa nchi..timu ya kipumbavu kabisa, badala afanye shuhul za kichama eti anaamua kesi ya yanga na mchezaji,wakili nae mbovu, makesi huko fifa kibao, hio barua nshaiona, nyie mna tamaa na wivu mbaya sana ...mim mtu wa mpira, mzinze hio hela hata angeeondoka kwa Dola laki 8, hio 1m$ angeipata tu huko anakokwenda, mbona mayele aliondoka kwa Dola laki 5 na saivi unaijua thamani yake? Unajua analipwa mshahara shilingi ngapi ? Ambayo Tanzania nzima hakuna mchezaji analipwa hio hela, nimeambiwa kua eti mnafikiria kupandisha iwe Dola milioni 2 sababu ya magoli ya CHAN...yetu macho...muuzeni mtoto wa watu akatafute maisha kwa ajili yake na familia , mpira sio starehe ama eti mapenzi na klabu .. mpira kwa Sasa ni kazi ..MPIRA PESA...
Andika #justiceformzinze kwa $1M. Chini ya hapo hakuna kuuzwa. Si umeona barua hiyo Esparance anatoa $1M#justiceformzinze
Kafunga leo ndugu yako
Nani ndugu yangu?Kafunga leo ndugu yako