Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Ila wewe jamaa unapenda sana kuwahadaa kolo wenzio

Nahisi wewe ni project ya magungu kabisa kwa ajili ya kupoza machungu ya wanasimba

Wewe kila mchezaji Simba wanamtaka
TETESI.
 
Tufanye tu Arsenal vs Ac Milan kabisa ili mfano wako uwe hai zaidi. Haya unataka kusema Arsenal ni timu kubwa kuliko Ac Milan si ndio?
Sasa unafananisha ac milan yenye ucl saba na pyramids yenye cafcl moja si unaona sasa namna ambavyo hujui mpira, mimi nimetolea mfano wa porto timu ambayo ina ucl moja kama pyramids tu wenye cafcl moja, tafuta timu zote zenye ucl moja moja hata hiyo psg iliyochukua juzi uone kama kuna ambayo ni timu kubwa na bora kuzidi arsenal, ndio maana nikasema ubora na ukubwa wa timu is all about consistency na siyo ubora wa msimu mmoja au miwili tu je kama ni fluke tutajuaje, subiri hao pyramids washinde cafcl kuanzia tano na kuendelea huku simba wakiwa hawana hata moja ndio uje utolee mfano wa hao ac milan na wengine siyo unakurupuka tu utaonekana umeanza kufuatilia mpira juzi
 
Ila wewe jamaa unapenda sana kuwahadaa kolo wenzio

Nahisi wewe ni project ya magungu kabisa kwa ajili ya kupoza machungu ya wanasimba

Wewe kila mchezaji Simba wanamtaka
Hebu uwe unafuatilia taarifa kabla ya kuropoka, huyu jamaa tayari yuko misri na kikosi cha simba kwa majaribio, na jana alikuwepo alicheza ile mechi ya kirafiki ambayo simba walishinda
 
Badae hatutaki ujinga wenu humu ndani kuwa magungu out

Hatutaki kelele za gsm anaharibi ligi
 
Ila wewe jamaa unapenda sana kuwahadaa kolo wenzio

Nahisi wewe ni project ya magungu kabisa kwa ajili ya kupoza machungu ya wanasimba

Wewe kila mchezaji Simba wanamtaka
Umeishia la ngapi mkuu? Unaelewa mchakato wa usajili unavyokuwa au unadhani timu inaenda kwa mchezaji mmoja na kujichukulia?
 
Uwezekano wa Feisal Salum ( Feitoto) kuondoka Azam FC msimu huu umekuwa mgumu sana. Anaweza kusaini mkataba mpya na Azam wenye kipengele cha kumuachia hivi karibuni.
 
Feisali Salum alishasaini miaka miwili Simba toka siku naandika hapa. Kilichopo hapa ni either Azam wamuachie au avunje mkataba au washindwane aondoke bure msimu ujao kwenda Simba . Atapewa jezi namba 6

HICHILEMA
August 9, 2025
 
Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026​

Uwezekano wa Feisal Salum ( Feitoto) kuondoka Azam FC msimu huu umekuwa mgumu sana. Anaweza kusaini mkataba mpya na Azam wenye kipengele cha kumuachia hivi karibuni.
ngara23 njoo umsikie huyu
Umeishia la ngapi mkuu? Unaelewa mchakato wa usajili unavyokuwa au unadhani timu inaenda kwa mchezaji mmoja na kujichukulia?
Feisal yuko wapi
 
Feisali Salum alishasaini miaka miwili Simba toka siku naandika hapa. Kilichopo hapa ni either Azam wamuachie au avunje mkataba au washindwane aondoke bure msimu ujao kwenda Simba . Atapewa jezi namba 6

HICHILEMA
August 9, 2025
Huyu jamaa yumo humu ndan kwa ajili ya kuwapotosha kolowizad
 
Back
Top Bottom