Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

FB_IMG_1754815078789.jpg

Tetesi namba 59
 
Hakuna sehemu nimesema ligi ya NBC ina thamani kuliko klabu bingwa Africa. Nilichosema mpe thamani Yanga, na Simba atapewa thamani. Usipompa thamani Yanga, na Simba hatapewa thamani. Hii ni kulingana na comments zetu za mwanzo tulipoanza
Hoja ni kwamba simba anamzidi yanga thamani hajasema yanga hana thamani ila wanazidiana, haiwezekani wote kuwa sawa kithamani lazima kuna mmoja anamzidi mwenzie, na hapo ndipo yanapokuja masuala ya kulinganisha cafcl na nbcpl huwezi kupewa thamani ambayo huna thamani hupewi tu bali unaitafuta
 
Kwa muono wako giant of Tanzania football ni team gani??na toa sababu 3 tu
 
Kwa muono wako giant of Tanzania football ni team gani??na toa sababu 3 tu
Giant wa Tanzania football ni Yanga sababu kabeba ligi mara nyingi. Ila giant wa African Football, Simba ni namba 5. Yanga hayupo hata top 10. Sasa za kuambiwa changanya na zako ujumlishe utoe kisha utapata hitimisho boss.
 
Jibu lako ni umejibu giant wa Tanzania football ni YANGA.
basi me ndio nlichouliza.

Hizo rank sio giant....wewe upo juu ya pyramid Kwa rank lakin wote tunajua giant Kwa sasa wa Africa ni pyramid bila kufata hizo rank, sababu kabeba kombe la CCL

Ndugu yaani hio sababu ya rank ni sababu nyepesi mno kuitamka kama mafanikio bila kuchukua Hilo kombe .

History inakumbuka makombe sio rank
 
Hahaha. Hii uliyokuja nayo ya kumbukumbu ya kihistoria inahusiana vipi na thamani ya ligi vs thamani ya mashindano ya club bingwa?
 
Hahaha. Hii uliyokuja nayo ya kumbukumbu ya kihistoria inahusiana vipi na thamani ya ligi vs thamani ya mashindano ya club bingwa?
Giant of Tanzania football ni nani?? Nipe sababu tatu
 
Giant of Tanzania football ni nani?? Nipe sababu tatu
Ndani ya ligi ya Tanzania, giant kwa sasa ni Yanga Sababu ni moja tu, kubeba kombe la ligi mara nyingi kushinda wapinzani wake.

Ndani ya Africa, katika top 10 za giants, Simba namba 5. Na sababu ni kufanya vizuri mashindano ya club bingwa Africa.

Sasa hapo unachokataa ni nini? Au unataka kusikia nini tofauti na huu uhalisia ili nikuambie?
 
Giant wa Tanzania football ni Yanga sababu kabeba ligi mara nyingi. Ila giant wa African Football, Simba ni namba 5. Yanga hayupo hata top 10. Sasa za kuambiwa changanya na zako ujumlishe utoe kisha utapata hitimisho boss.
Hajawahi tokea Giant asie na trophy tusidanganyane hapa
 
Hichilema nilisema hapa mkuu kila siku sitoacha kuitukana timu ya FROGS FC...Wana roho mbaya sana Hawa mbwa...kijana wa watu anataka kwenda zake kucheza ligi nyingine amechoka kuichezea Hilo timu lao bovu lenye ubinafsi na uchawi mwingi wnaamkatalia ..kaja wa Dola laki sita...imepigwa chini, imekuja Dola laki 8, imepigwa chini, wanataka Dola milioni 1...huu ni uuonevu na unyanyasaji mkubwa sana kwa mchezaji...wachezaji wanaokwenda hio timu ya mahaywani wajifunze na wapeww elimu kabla ya kusaini mikataba ya hio timu...rubbish kabisa...
Screenshot_20250811_072347_Instagram.jpg

Hamna club inayofanya biashara kwa kushinikizwa na watu wa nje.
 
View attachment 3438084
Hamna club inayofanya biashara kwa kushinikizwa na watu wa nje.
UNAIJUA Tanzania unaisikia wewe...watanzania asilimia kubwa hatupendj kuona mtu ananyanyasika,kwani ya fei ilikuaje? Hadi rais akaingilia kati...unaelewa, rais wa nchi..timu ya kipumbavu kabisa, badala afanye shuhul za kichama eti anaamua kesi ya yanga na mchezaji,wakili nae mbovu, makesi huko fifa kibao, hio barua nshaiona, nyie mna tamaa na wivu mbaya sana ...mim mtu wa mpira, mzinze hio hela hata angeeondoka kwa Dola laki 8, hio 1m$ angeipata tu huko anakokwenda, mbona mayele aliondoka kwa Dola laki 5 na saivi unaijua thamani yake? Unajua analipwa mshahara shilingi ngapi ? Ambayo Tanzania nzima hakuna mchezaji analipwa hio hela, nimeambiwa kua eti mnafikiria kupandisha iwe Dola milioni 2 sababu ya magoli ya CHAN...yetu macho...muuzeni mtoto wa watu akatafute maisha kwa ajili yake na familia , mpira sio starehe ama eti mapenzi na klabu .. mpira kwa Sasa ni kazi ..MPIRA PESA...
 
UNAIJUA Tanzania unaisikia wewe...watanzania asilimia kubwa hatupendj kuona mtu ananyanyasika, hio barua nshaiona, nimeambiwa kua eti mnafikiria kupandisha iwe Dola milioni 2 sababu ya magoli ya CHAN...yetu macho...
Hata wakipandisha si mchezaji wao? na tena anafanya vizuri kwenye michuano ya CHAN dau linapanda. Sasa anyanyasike vipi, dili la dola laki saba na USD 1m lipi zuri lipi lenye maslahi mazuri? Mpira ni biashara na si huruma.
 
Back
Top Bottom