- Thread starter
- #2,061
Uko Sawa kweli?Ndiyo Nilisema haipo FEI kusajili umbumbumbuni msimu huu
Labda next season
Uko Sawa kweli?Ndiyo Nilisema haipo FEI kusajili umbumbumbuni msimu huu
Labda next season
Labda ya k9Peleka dollar million 1 upewe mchezaji
Huna hiyo pesa kaa pembeni
Pengine hajuiWe police Kenya unawaona wanyonge
Hawa ndo mabingwa wa Kenya
Tungeambiwa mishahara ya wachezaji wa kibongo tungesikitika sana.Siyo wamepandisha hadi 15m?
Ligi yetu imechelewa kuanza. Hadi Simba day almost ligi zote kubwa Afrika zitakuwa zimeanza.Ni uamuzi wa hovyo,wanachagua timu dhaifu,kwanini wasialike timu za maana
Unamanisha nini mtaalamFrogs FC vs esperence de tunis...
Kwishaaaa habar yenu frogs.
Shughuli kama izo hazifagi mkuu.Duh umenikumbusha mbali sana, pale Dianna palikua na malaya wengi sana sijui kama hiyo shughuli bado inaendelea
Wenye wivu unawaita kwa kasiView attachment 3433542
Rais wa Heshma.
Mental case hio mjomba...Uko Sawa kweli?
Wacha ujinga wewe wenye timu yao walikwenda mpaka kwa bimkubwa kumpigia magoti halafu wewe unaleta ngonjera zako hapaKwa u special gani alionao huyo Feisali hadi watu wampige? Kila timu itaziba mapungufu kulingana na namna anavyoona. Kuna wachezaji zaidi ya Feisal kwa Tanzania na Africa kwa ujumla.
🤣Mental case hio mjomba...
Dah! mkuu comment yako n tata kidg, kwahyo hawa wachezaji wapya wengne hawaaminiki?Mashabiki na wapenzi wa Simba Mjiandae kisaikolojia.
Hadi sasa Tunapoongea Timu yetu imesajili wachezaji wawili tu.
1.Jonathan sowa.
2. Kante.
Msije mkasema sijawambia Yanga Bingwa.
Feisal angekuwa wa muhimu saana angeenda kucheza soka la kulipwa huko nje na sio kubaki hapa hapa.boss kuwa makini humu ndani, utapigwa kuna watu hawapendi hizi taarifa
huyo ndio Malonga au?